sofa

A couch, also known as a sofa, settee, futon, or chesterfield (see Etymology below), is a piece of furniture for seating two or three people. It is commonly found in the form of a bench, with upholstered armrests, and often fitted with springs and tailored cushions. Although a couch is used primarily for seating, it may be used for sleeping. In homes, couches are normally put in the family room, living room, den or lounge. They are sometimes also found in non-residential settings such as hotels, lobbies of commercial offices, waiting rooms, and bars.

View More On Wikipedia.org
  1. INAUZWA Sofa set 7 seaters, 3:2:1:1

    Full fiber & spring Bei tsh 2.1m Ipo Tayari (kulipia na kubeba) Location; Keko Chang’ombe Road, Dar es salaam Wasiliana nasi kwa 0759086992
  2. K

    Sofa Shampoo zinauzwa

    Kwanini uingie gharama ya kubadili kitambaa Cha sofa zako? Jipatie sofa shampoo ambayo inaosha sofa kwa kutumia povu tuu, na ndani ya dk 45 tuu, sofa zako zinarudi na kuwa mpya kabisa, bei zetu ni kuanzia elf 25000, tupo Sinza-Dar kwa mawasiliano zaidi tupigie 0744466202.
  3. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Natafuta kazi; ikiwa ya kutengeza sofa itanifaa zaidi

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wamiaka 24 kwasasa, elimu yangu ni kidato cha nne ambapo nilifaulu vizuri ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kutosikia vizuri. Baada ya kumaliza shule mwakav2015, kuanzia 2017 nilianza rasmi kujifunza kutengeneza sofa...
  4. Naomba msaada wa kunichagulia sofa zuri kati ya izi

    Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi. Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu? Nina wasiwasi na kuharibika miguu yake, yaani iyo miguu ya sofa. Nasoma comments zenu..... Asante.
  5. INAUZWA Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

    Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
  6. Karibu GCC company limited, watengenezaji wa bidhaa zinazotokana na mbao

    GCC COMPANY LIMITED ..DEALS WITH FURNITURES AND BED SOFA and more...... MAKING-TUPO , KCMC MAPIPA ROAD MOSHI-KILIMANJARO. Huduma zetu : 1. Kutengeneza makabati ya nguo (dress table included) , showcase za TV , kitchen cabinet , pallet , valvet , bed sofa , BED BOX , SOFA za kukalia , Na...
  7. Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  8. Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

    Ni kitanda gani kizuri na sifa zake nikanunue Hatimaye kama nilivyonuia kwamba mwezi wa tisa hautaisha bila kuwa na kitanda ni karibia mwaka Sasa mimi na mama mtoto wangu tunatupa godoro yetu chini asanteni Wote mlionipa matumaini tokea siku ya kwanza nilipolalia mabox MUNGU ASIFIWEEEE
  9. Watengenezaji sofa msaada

    Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
  10. Dar - Mbezi Msuguri; Nauza Friji kubwa na ya kisasa (brand samsung) na SOFA nzuri sana (Leather sofa)

    Hello ladies and gentlemen hizi hapa mali safi kabisa Friji iko mwake mwake kama unavyoiona.. Bei 750,000 Tuwasiliane Mbezi kwa Msuguri
  11. K

    INAUZWA Sofa set fior sale in Tanga

    Price 850000/= call 0787103846. Bargaining room for serious buyers ipo.
  12. Msaada wa vitambaa vya sofa

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
  13. Sofa bed ya mbao

    Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia. Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine...
  14. A

    INAUZWA Sofa used zinauzwa

    Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
  15. INAUZWA Sofa bed inauzwa

    NAUZA SOFA BED HALI NZURI SIZE 5 KWA 6 KIPO BAGAMOYO ZINGA BEI 200,000/= CALL 0624257466
  16. A sofa from 1987 from Bolognese designer

    Sofa (part of a set),ca. 1835 Designed by Filippo Pelagio Palagi This sofa and two armchairs (1987.62.2, .3) are from a set of furniture that also included a daybed, six side chairs, and two additional armchairs. The set was designed by the Bolognese architect Filippo Pelagio Palagi, who in...
  17. INAUZWA Sofa inauzwa

    Sofa set inauzwa ipo kwenye hali nzuri. Ipo Arusha. Bei 350,000 tshs.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…