Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa ni Rais Wa Nchi , Kiongozi wa Serikali, Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Unapanga Mipango yako sirini halafu kesho Mipango yote inavuja na kuwekwa hadharani ujue kuna shida sehemu.
Ujue kuna kutokuaminika ,kupendwa , kukubalika kwa wasaidizi wako...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa
Nukuu
'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document...
Ni vyema kesi ya Mbowe ikafutwa, Kuna mambo ya ulinzi mazito na siri yanaongelewa mahakamani ambayo wengi hatukufahamu
Ushahidi unaonyesha maisha ya Askari wetu na haki zao zilivyo, Mambo ya dhuluma, Mateso na Sera za kustaafu au kufukuzwa kwa haki au kutokufuata haki zinatufikia hata...
Binadamu wana tabia ya kinafiki sana, wanacheka na wewe na kukushauri Kisha wanautoa ushauri wao nje kwenda kukuangamiza. Tangu aingie mama Samia suluhu uvujaji wa Taarifa umepungua Jambo linaloonyesha Kwamba waliokuwa wanavujisha siri ni watu wale wale waliokuwa wanapaswa kuzihifadhi.
Naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.