single mothers

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
  2. M

    Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  3. Kwanini wimbi la Single Mothers linazidi kuongezeka?

    Habarini wanajamii Ni ukweli usiopingika kuwa Single mothers wanazidi kuongezeka katika jamii, tatizo ni nini hasa kinasababisha hali hii? -Je ni ugumu wa maisha unaosababisha wanaume kuogopa kuingia kwenye ndoa? -Au kubeba mimba bahati mbaya Tatizo ni nini hasa? Huko mtaani kila kona...
  4. Kazi ya ubaamedi ni kwa ajiri ya single mothers?

    Nimegundua hii trend. Viwanja vyangu vyote vya kumwagilia moyo kila baamedi ninaepiga nae story ananiambia ana mtoto. Ukimuuliza baba mtoto yuko wapi analeta story za hapa na pale. Hii kazi ya ubaamedi ndio tayari ishakua maalumu kwa ajiri ya single mazas au vipi.
  5. PostGE2025 Asilimia kubwa ya vifo vilivyotoea Oct 29 ni vya vijana wa kiume (23-35's ndio wengi walikua mtaani) je tutarajie ongezeko la single mothers mtaani??

    Habari za jumapili Wana bodi! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nimejaribu kuwaza hivyo, je tutarajie jambo kama Hilo kwa miezi mitatu ijayo? Ipo wazi, impacts za Oct 29,2025 hazitoonekana kwa mwezi huu Wala ujao lakini baada ya miezi mitatu na kuendelea kuna mambo mengi sana yatajitokeza...
  6. Big Yes ama Big No

    Huyu single mama amezidi sasa ni muda atafute bwana. Hii ni form ya child abuse na sexually abuse tu. Hii sio kazi wala jukumu la kijana wako. Loh bora hizo zingine hii ya fan big NO.
  7. B

    Hali ni mbaya sana mtaani, siku hizi wadada wengi wa miaka 19-22 tayari ni single mothers

    Habarini, Unakutana na mdada unampenda, mnakua kwenye talking stage labda kwa miezi kadhaa, mnaongea vizuri tu mna click, unapenda tabia yake na muonekano wake, unaanza kusema huyu Mungu akipenda tutaishi kama wapendwa, unaanza ku-imagine future nae. Baada ya muda uhalisia unakupiga na kitu...
  8. Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  9. Single Mothers ni wamama Jasiri, wenye moyo wa chuma na upendo wa dhahabu

    Jamani.... Leo napenda kuinama kwa heshima mbele ya wanawake hawa mashujaa โ€” wamama wanaosimama peke yao katika jukumu zito la kulea, kufundisha, kulinda, na kupenda watoto wao kwa hali na mali, licha ya changamoto, upweke au hukumu za jamii...ambao jamii ya wahuni fulani fulani tu wanawaita...
  10. Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  11. Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother

    Kuna baadhi ya wanawake (single mothers) ambao wao wanaamini ya kwamba wana uwezo wa kulea watoto Peke yao bila ya usaidizi kutoka kwa mzazi mwenza(baba). Na hii imekua ni sababu ya wanawake hao kukataa kuendelea kuishi kwenye maisha ya ndoa wakiamini ya kwamba wana uwezo wa Kusimama Peke yao...
  12. Watoto wa 'single mama' kizazi cha Leo kisicho na malezi

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu... Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao wamelelewa na single mama... Nasemaje hili kundi la wanawake ambao wamezaa tu bila kuwa na wanaume hao...
  13. Ongezeko la single mothers ni matokeo ya Wanawake wengi kujirahisisha na kutotii wazazi au walezi wao.

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
  14. R

    Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  15. Tatizo la "Single Mothers" sio tatizo la Mwafrika ni tatizo la Wamagharibi. Kiasili Waafrika hatunaga kitu kinaitwa "Single mothers"

    Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers". Kwa sababu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ 1.( a) All women belonged to the community. ( b) All mothers belonged to the community. ( c) All children belonged to the community. ( watoto wangu watoto wangu watoto wako watoto wangu. But now tumeiga uzungu...
  16. Single mothers wapambanaji sana

    Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana๐Ÿ’ช NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
  17. Single mothers waheshimiwe: Tuache mara moja kuwabeza

    Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers. Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
  18. S

    single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
  19. Swali kwa single Mothers: Siku ya harusi ya mtoto wako nani utakaa naye High Table? Baba mtoto au mume wako?

    Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu. Hao watoto...
  20. Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

    Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ