Tunaweza kuwaza kuwa mabadiriko na uhasishaji ni process ndefu ila inaweza kuwa ni spark!, ghafla mindset yako ikawa infected na mageuzi.
Najua algorithm zetu zimejaa mademu wenye makalio makubwa na stori za skendo, sawa ni burudani ila fikiria miaka 5 mfululizo wa porno unafikiri mindset yako...
Wakizma mtandao simu zita kuwa kam tochi tu umejipangaje andaa magem yako lakini pia story story ninazo sema utaka ipi ya kichawi kijsusi au chombezo nakutumia pm utajua wewe pakwenda kusav ili uwe una soma Leejay49 nina story zako 3
Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi.
Sasa wewe lala upitwe!
Tangazo muhimu.
Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako
Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii.
Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025.
Sikiliza kwa makini...
Tuseme ukweli bila kupepesa macho
Unalala nayo kitandani
Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!
Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa — si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
Maisha bila mitandao ya kijamii inawezekana huu ni mwaka wa nne sasa no fb, no instar no twitter
Kilichobaki ni Jf tu
Muda upo wa kutosha kusoma vitabu, kufanya kazi, kutafakari na kukaa na familia
Nimesoma votabu zaidi ya 400
Sihitaji kuweka bamdo kila mara labda kama nataka kupakua kitabu...
Ikitokea imetokea umekufa au upo katika hali ambayo haikulazimu wewe kutumia simu yaani ili utumie simu lazima usaidiwe na mtu je vitu ulivyo hifadhi kwenye simu yako kuanzia kwenye mafile mpaka picha je heshima yako bado itabaki vile vile
Kuna mama mmoja simu yake ilikuwa imegoma kufuta picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.