simiyu

Innocent "Namcos" Simiyu (born 24 April 1983) is a former Kenyan rugby union player who captained the Kenya national rugby union team and the national rugby sevens team. In the World Rugby Sevens Series, Simiyu has represented Kenya in 121 matches scoring 321 points. At club level he played for Impala Saracens and Kenya Harlequin.
On 17 October 2016, he was appointed as head coach of the Kenya national rugby sevens team on a two year contract and replacing Benjamin Ayimba.Simiyu is a brother to former Kenya national rugby union players Victor Sudi and Nato Simiyu.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif, ameshiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki uliofanyika katika Uwanja wa Ngunzo Nane, Maswa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njalu Silanga, Mbunge Itilima: Serikali imepeleka bilioni 85 kwa ajili ya miradi ya maendeleo Itilima, Simiyu

    Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, ameweka wazi mafanikio makubwa ya maendeleo katika wilaya hiyo, akieleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeleta shilingi bilioni 85 kwa ajili ya miradi mbalimbali. Akizungumza kwenye...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga achangiwa Milioni moja na laki tano kwa ajili ya fomu ya kugombea ubunge, fomu ishalipiwa

    Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa ==== Mbunge wa jimbo la Itilima Njalu Silanga amechangiwa pesa takribani 1,586,000 kwa ajili ya...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Emmanuel Sulwa Mapana akiwa na sare za Jeshi zenye cheo cha Luteni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemtia mbaroni Mtu mmoja aitwaye Emmanuel Sulwa Mapana (24) maarufu Mchambi Mkazi wa Mtaa wa Sima, Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania zenye cheo cha Luteni. Polisi Simiyu wamesema leo February 14,2025 saa 6:30 mchana...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

    Wakuu, Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025. Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Miradi ya TASAF yatakiwa kukamilika kabla ya mwezi Machi 2025

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) umewataka wataalamu wanaosimamia miradi ya kupunguza umaskini kupitia mpango wa kunusuru kaya maskini awamu ya tatu (TASAF III) Mkoa wa Simiyu kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kabla Machi 2025. Mbali na miradi hiyo kukamilika, mfuko umewataka...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya milioni 5 kwa kosa la kuwapa majibu wanafunzi

    Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu katika mtihani la darasa la nne mwaka 2023. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Februari 2...
  8. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM Ndg.Stephen Wasira mkoani wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu ashiriki kikao cha wadau wa biashara ya nafaka na AMCOS

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameshiriki kikao muhimu cha wadau wa biashara ya nafaka pamoja na AMCOS kilichofanyika tarehe 27 Januari 2025 katika Ukumbi wa Bariadi Conference, Wilaya ya Bariadi. Kikao hiki kiliwaleta pamoja wadau mbalimbali wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Simiyu wasusia kongamano la RC Kihongosi kumuunga mkono Samia

    Wabunge wa Mkoa wa Simiyu wamesusia kongamano lililoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kihongosi kwa lengo la kuunga mkono Azimio la Mkutano Mkuu kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais mwaka 2025. mkutano huo umefanyika wilaya ya Bariadi ambapo hata mbunge jimbo husika la...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM Mkoa wa Simiyu: Jambo Letu Limekubali

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Emmanuel Nchimbi. Matembezi haya, ambayo...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Barabara ya Bariadi - Itilima Mkoani Simiyu iliyolalamikiwa na Mdau yafanyiwa maboresho

    Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii zinasuasua kutokana na hali hiyo, sasa imeanza kufanyia matengenezo. Kuona hali ilivyokuwa awali ~...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Viongozi CHADEMA watishia kukibwaga Chama Mbowe akishinda Uenyekiti

    Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa kuwa Freeman Mbowe katika Mkutano Mkuu unaofanyika Januari 21, 2025. Pia, Soma: - Mbowe: Nikishindwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mnada wa Mifugo Bariadi - Simiyu, mapato mengi yanaishia mifukoni mwa Wakusanya Mapato

    Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA. Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Serikali itusaidie, Mgodi wa Dhahabu EMJ unatiririsha maji yanayodaiwa kuwa na ‘sumu’ katika mto

    Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums. Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu unaitwa EMJ, unamilikiwa na kiongozi mmoja wa CCM Mkoa wa Simiyu (MNEC) anaitwa Gungu Silanga...
  17. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara Bariadi kwenda Itilima ni hatari, wananchi tunateseka, TANROADS - Simiyu hamuioni?

    Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi. Barabara imejaa mashimo kuanzia Bariadi hadi Itilima, Kwa Sasa tunasafiri Kwa muda wa saa mbili wakati ni mwendo wa Dakika 30 Kwa...
  18. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania KERO NMB huduma zenu Tawi la Bariadi Simiyu ni kero, zinaudhi. zinatwibia wateja.

    NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini. Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu wateja wa Wilaya hii ya Bariadi hamtutendei haki. Boresheni huduma zenu za ATM Mashine, Tawi kubwa kama...
Back
Top Bottom