simba

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asanteni sana Par Omar Jobe na Babacar Sar

    Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR. Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha ubora wake Msimbazi huku pia Babacar sarr yeye akihitaji miezi sita! Boss MO yupo kazini kwa hakika...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtizama huyu sijui Lameck Lawi kwa Jicho langu la Kiufundi sijaona na nasikitika kuona Simba SC yangu walimtaka na bado tu wanamtaka

    Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu. Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba wakubali ombi la Imani Kajula kuachia ngazi ndani ya Simba SC

    CEO atimiza ndoto iliyokuwa ikimnyima usingizi. Baada ya kufanikiwa kupiga naye picha, sasa CEO yuko huru kuachia ngazi. Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC imekubali maombi ya Ofisa Mtendaji Mkuu wao Imani Kajula ya kuachia ngazi ndani ya Simba SC kuanzia Agosti 31- 2024 huku klabu hiyo ikianza...
  10. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Samson Akaua Simba?

    Hivi zamani middle east kulikuwa na simba? Ile hadithi ya Samson kutoka kwenye biblia alipomkamata simba kwa mikono akamrarua vipande natafakari wale simba walikuwapo middle east? Biblia inasema Samson alipokuwa akielekea Timna na wazazi wake kwenda kuonana na yule mwanamke wa kifilisti...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

    VIONGOZI WENYE KUTISHA WATU MAJUKWAANI HAWAMALIZAGI ROUND KWA SABABU WANA AKILI NDOGO ZA KUTAWALA. SIMBA MWENDAPOLE NDIYE MLA NYAMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Najua ipo siku utajikuta ni mtawala au kiongozi. Ikiwa itatokea hivyo basi nisikilize Mimi Mtibeli alafu utakuja kunishukuru...
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aziz Ki amewahadaa sana viongozi wa Simba, hawatamsahau kamwe

    Hahahaa sakata la Aziz Ki bora limeisha. Ukwelii Aziz alishaingiziwa mzigo akiwa huko kwao. Kilichoendelea ni kuwachezesha Simba viongozi kadhaa wamempigia wakaimba naye weee akawaahidi akitua atakuja kumalizana nao. Masikini Ahmed Ally akakimbilia mtandaoni hajasaini unajua Azizi mtu makini...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kikongo siyo waaminifu. Je, Baleke aliihujumu Simba?

    Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba imeua Timu kama Azam ilivyofanya miaka 7 nyuma. Mchezaji aliyepata mbadala ni Moja tu Jobe kwa Yao Jean Chares. Bora matola atioke wasijempa

    Simba itagongwa vibaya msimu mpya. Ukweli kocha ni mbovu sana. Zaidi ya Matola. Usajili Yanga waliwadanganya na kuuza wachezaji muhimu. Makosa ilifanya AAZAM miaka 8 nyuma Simba imefanya sasa. itachukua miaka sita kukaa sawa. Vipigo vikianza tu Matola atatupiwa lawama Mara Juju, kurubuni...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba imemsajili beki wa kulia Kevin Kijiri basi sitowakosoa tena msimu huu na nitaiunga mkono timu 100%

    Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri. Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not. Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja. Huyu...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali nauomba Uongozi wa JamiiForums usifute hizi Threads za Posts zote za wana Yanga SC wanaobeza Usajili wa sasa wa Simba SC, kwani hawatoamini

    Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano. Tusije Kukimbiana...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ningekuwa na maamuzi kwenye club ya Simba, ningemuondoa msemaji wa club ya Simba, Ahmed Ally

    Inasemwa kwamba kazi ya afisa uhusiano ndio kazi ngumu kabisa huku duniani. Kazi hii inahitaji mtu mwenye uelewa wa mambo haswa yale ambayo atakuwa akiwashirikisha watu kuhusu kampuni, taasisi na mashirika ambayo ndio anafanyia kazi. Kwa mfano. Afisa uhusiano wa jeshi la polisi. Msemaji wa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usajili wa panic wa Simba: Yanayoendelea mitandaoni

    Ewe mwana Lunyasi mwenzangu, weka kituko kilichopo mtandaoni kuhusi usajili wetu wa kupaniki. Wakati wa usajili, Sifa anapewa Mo ila ligi na michuano mbalimbali ikianza, Lawama zote anapewa Mangungu. Blog maarufu ya soko Afrika yakashfu usajili wa kukurupuka wa wana lunyasi. Mwingine huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…