simba

  1. Tujikumbushe kashifa ya mkurugenzi wa JAYRUTTY watengeneza jezi wapya wa simba sc

  2. J

    Kwa nini Simba hawajatumia uwanja wa Azam Compex, wakachagua kwenda Zanzibar kwenye mechi ya nusu fainali CaF?

    Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini Simba ikachagua kwenda Zanzibar ambako ni mbali na kugumu kufikiwa na mashabiki wake wengi? Pia...
  3. L

    Maoni yangu, Simba ataifunga Stellenbosch

    Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa. Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao uliishia pale,hapana,Bali Simba walionekana kuridhika na hatua ya robo fainali na kutokua na...
  4. Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  5. Mdhamini mpya wa Jezi wa Klabu ya Simba aliwahi kutuhumiwa kwa makosa haya

    Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa Miaka mitano. Ukiwa pamoja na Extra bonuses kama vile Ujenzi wa uwanja...Media production...
  6. Waitaliano hawana kazi mbovu, Simba inaenda kuvaa pamba kali sana

    Linapokuja suala la fashion, hakuna taifa linaloipiku Italia kwenye ubunifu wa mavazi. Kidogo Mfaransa anajitahidi ila Muitaliano ni habari nyingine kabisa. Huko ndiyo wanapotoka kina Armani, Prada, Gucci, Versace, Fendi, Dolce & Gabbana, Cavalli, Valentino, nk. Baada ya kusikia kuhusu mkataba...
  7. Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

    “ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira. My take: Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana Simba
  8. Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

    Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni. Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni. Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka...
  9. M

    Ruvuma: Simba adimu duniani auawa Liparamba

    Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe, kiumbe adimu anayepatikana katika maeneo machache duniani, ameuawa baada ya kuingia kwenye makazi ya...
  10. Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  11. Mwigulu Nchemba aipongeza klabu ya Simba bungeni na kuipigia debe

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha aipongeza Klabu ya Simba bungeni; "Lakini tulisaini mkataba na federation, tutatumia ile, tutavitumia vilabu vya Simba na Yanga vina walipa kodi wengi wafuasi wengi ili viweze kusaidia kutoa elimu pamoja na michezo yote itumike katika kutoa masuala ya kuelimisha...
  12. Kigwangala vp?? zile makala zako hatuzioni mkuu??

    Habari za muda huu wadau wa sport. nisiwachoshe nauliza tu huyu bwana wa kuitwa kigwangala yupo wapi mbona kimya sana?? sio kawaida yake kukaa kimya. haya anayofanya simba sport club kwake hayana maana yoyote?? mbona simba ikifanya vibaya tuu unaanza kuona makala nyingi za lawama kwa tajiri Mo...
  13. Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

    Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
  14. T

    Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  15. PreGE2025 Nape Nnauye: Ngoma ya watoto haikeshi, mimi ndio Simba wa kusini, tunaenda kupiga kwenye mshono

    Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'. Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa Ccm Taifa, Amos Makalla, akiendelea na ziara katika mikoa ya Kusini, Mtwara na Lindi.
  16. Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

    Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
  17. FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  18. Ukitaka kuwaua simba wote mbugani ua swala wote, kinachofuata tunakijua?

    Hellow wakuu Tulifundishwa kuishi kwa kutegemeana kwa mazingira, Kila kiumbe kina nafasi yake ktk ecosystem Ukiwaua swala wote itatokea competion ya kufa mtu among predators, vitoweo vitaisha simba wataanza kufa mmoja mmoja kwa kupigania au kukosa chakula Urafiki na umoja wa simba utayumba...
  19. U

    Nashauri TFF wawape Yanga na Simba point moja, moja

    Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
  20. S

    Nini kinaendelea kuhusu mechi ys Simba na Yanga ambayo iliahirishwa katika mazingira ya utatanishi baada ya Simba kugoma kufika uwanjani?

    Habari wadau! Mpaka sasa, tumesikia na kusoma mengi kuhusu hii mechi ambayo haikuchezwa baada ya Bodi ya ligi kuiahirisha huku Yanga wakifika uwanjani na Simba kutofika kama walivyokuwa wamepanga. Je, ni kweli jambo hili sssa liko huko CAS kwa ajili ya usuluhishi na maamuzi? Na kama kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…