simba

  1. M

    Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  2. Kwa wasioitakia mema Simba SC na ligi yetu

    Nataka kuweka mambo sawa hapa au kusawazisha mapema ili baadae kila mtu aweze kujua mapema. Kuna kuwa na thread nyingi sana hapa JF na hata katika blogs na posts mbalimbali juu ya Simba Sc inapo litendea haki ligi letu na ukanda huu wa A. Mashariki. Kasumba hii ya miaka yote ya kutothamini...
  3. U

    Hahahahah kama naiona Simba kweny hatua ya robo fainali

    Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas atasonga mbele
  4. Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

    Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa? Kwa msiojua English msikilize Hitimana
  5. Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  6. Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  7. I

    Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  8. Q

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  9. Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  10. Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
  11. Mechi ya Simba vs Kagera imeahirishwa kwa sababu ya severe flu

    Hii iwafikie popote mlipo hasa ambao hamjachanja 👇. Source- The citizen.
  12. Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea nikimpenda na Kumkubali Mtu kwani nina Jicho la Uhakika na la Kuona mbali pamoja na Ubora wa Mtu / Kitu. Simba SC koseeni kote ila msithubutu Kumuacha (Kumtema) Mchezaji Raia wa Senegal Ousmane Papi Sakho kwani mtakuja Kujuta na Kunikumbuka hadi Kumkubuka na Yeye...
  13. C

    Manara na Simba

    Manara na Simba
  14. Simba Sport Club stadium Concept

    Sisi wana simba tunapenda mambo mazuri ya kisasa. Ninapenda kuwaletea wanandugu Concept ya uwanja wetu tutaotegemea kuanza kuujenga mwaka 2022. Ruhusa Utopolo kumwaga povu.
  15. Kagera vs Simba postponed

    Ugonjwa usiojulikana huko umesimamisha mechi
  16. Tetesi: Mechi ya Kagera Sugar Vs Simba kuahirishwa Leo?

    Haka kaugonjwa kamekolea kweli kweli... Wizara ya Afya itoe tamko sasa.
  17. Kwanini serikali imenyamaza kimya?Huku Simba wana changisha??

    Serikali kupitia taasisi zake walisimamia zoezi la Simba kupata mwekezaji ambae inasemekana alitoa bilioni 20 kununua asilimia 49 ya hisa za Simba... Sasa Simba inaporudi kuchangisha wanachama wakati kila kitu cha Simba kinamilikiwa kwa asilimia 49 na huyo mwekezaji...je wanachama wanamchangia...
  18. C

    Simba uwanja huu hapa

    Mambo machache ya kujipanaga kupata Pesa ya Kutosha kusimamaisha uwanja wake 1. Mageti ya uwanja haya yote yawe sokoni kwa mkataba wa miaka 3 - 10 2. Majukwaa yote yawe sokoni kwa Mkataba wa miaka 3 - 10 3. Harambee mikoa yote Tanzania target M. 100 - 500 4. Michango ya Wanachama na wapenz wa...
  19. Aina ya uchezaji wa Kibu Denis na Morrison hauna msaada kwa Simba yenye njaa na mataji

    Simba kama moja ya klabu kubwa Afrika inahitaji kuwa na wachezaji wenye mwendelezo mzuri wa perfomance kiwanjani ili idumu kwenye hadhi na nafasi yake. Tokea msimu huu 2021/22 umeanza imeonekana kwamba Kibu Denis na Bernard Morrison wameingia kwenye kikosi cha kwanza. Ni wachezaji wazuri sana...
  20. Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…