simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba chukueni billion 20 za Mo mfanye usajili wachezaji wa maana

    Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji? Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Simba ni mbumbumbu na hawana akili

    Mtu anajiita shabiki baada ya mechi moja tu kufungwa na Yanga anataka kocha afukuzwe, wengine wanatoa povu CEO Barbara aondolewe, wengine wanataka Mangungu aachie ngazi, ngoja kwanza nicheke😁😁😁 Mchezo wa mpira ni mchezo wa makosa, ni muda wa kuwaachia benchi la ufundi lifanye masahihisho ya...
  3. JamiiForums Tanzania [b]WATANI WA JADI, SIMBA & YANGA.

  4. JamiiForums Tanzania Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea

    Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea. Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul za ovyo. Mkude haeleweki kama no. 6 au 8 yaani... Striker wapambane wamchukue Manzoki, hawa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba anzieni hapa: Inonga aliuza mechi

    Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission yake tangu mwanzo ilikuwa apate red card ilivyoshindikana akaamua kujiabisha mazima Mtamlaumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza Simba mechi dhidi ya Yanga kuwania Ngao ya Hisani

    Mechi imekwisha, Simba imekufa 1-2 dhidi ya Yanga, Kiukweli inàuma mechi tano mfululizo za derby Simba hajashinda hata moja, huku akipokea vipigo vitatu na droo mbili(tena zilizokua na faida kwa Yanga) Turudi kwenye mada. Simba ilikosa Wachezaji wa kuamua mechi. Kiukweli mechi ya jana ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

    Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na...
  8. JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu: Mashabiki wenzangu wa Simba tulifeli hapa

    Ningependa moja moja kuwapongeza watani zetu Yanga kwa ushindi wa jana. Baada ya kufanya tathimini yangu fupi mitandaoni na vijiweni nimegundua kuna mabadiko makubwa kati ya mashabiki wa Simba na Yanga kutokana na mambo wanayojadili kuhusu timu yao. Nikianza na Yanga haswa hapa Jf kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

    MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII. Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji. Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1. Mashabiki wamekuja juu...
  10. JamiiForums Tanzania No Excuse: Try Again, Mangungu na Kocha waondoke Simba Sc

    Sina maneno mengi. Maandalizi,mipango ya mechi na mechi yenyewe yamefanyika hadharani kila mtu ameona. Mpira una matokeo matatu,lakini sisi sio wa kufungwa kila siku na Yanga. Kocha anafanya majaribio kwa Yanga,akaingia bila kuheshimu mpinzani. Mnatuhujumu waziwazi. Mnamuacha kocha anajifanyia...
  11. JamiiForums Tanzania Salamu kwa uongozi wa Simba

    WAKUU. Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching. Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili. 1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo...
  12. JamiiForums Tanzania Weekend hii unaimalizaje? Manchester amepigwa, simba amepigwa na mkeka wako umechanika!!!

    Naona kana kwamba unapitia wakati ulio mgumu. Hongereni yanga kwa ushindi wa kishindo. Henu fikiria Simba chali Man u chali Mkeka umechanwa na hizo timu huku wewe ukiwa ni shabiki kindakindaki
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inonga Baka ujuaji mwingi, mbambamba nyingi kaigharimu Simba

    Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu. Mayele...
  14. JamiiForums Tanzania Msanii Tundaman anyang'anywa uanachama Simba

    Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
  15. JamiiForums Tanzania Jemedari Said atupa karata yake nafasi ya usemaji klabu ya Yanga

    Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi . Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001). Tumtakie Heri katika hili.
  16. JamiiForums Tanzania Tukio hili la SIMBA linapingana na kauli ya Wallace Karia

    Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu. Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
  17. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Timu zote zimeshaingia uwanjani. Mchezo umeanza 01' Yanga wanamiliki mpira wakipiga pasi kadhaa. 11' Kibu Denis anaachia mkwaju na kuishia kwenye nyevu za pembeni 15' ⚽Gooooooal, Pape Sakho anaweka kimiani goli la kwanza la mchezo, krosi maridadi kutoka kwa Chama 19' 🟨Aucho anapewa kadi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Simba na kamati ya usajili

    Simba imeshindwa kusajili wachezaji wafuatao ndani ya Dirisha kubwa 2022-23. 1. Victoria Adebayor. 2. Stephan Azizi Key. 3. Luis Joseph Miquisson. 4.Abdul Suleiman Sopu. 5. LOBIE CESAR MANZOKI. Na MBAKA SASA Haina mbadala wa kagere. KAMATI jisahihisheni. 6 ndio TATIZO kabisaaaa
  19. JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwa uzungu huu na ukaidi wa viongozi wa simba kazi kesho tunayo

    sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana. Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…