simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Al Ahly mdomoni mwa wachambuzi wa bongo, watakaangwa kwa kosa hili kama la Simba

    Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
  2. JamiiForums Tanzania Bocco anakaimu ualimu wa viungo Simba

    Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake. Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
  3. JamiiForums Tanzania Hipi ni sababu inayowafanya yanga wasivume kimataifa? Kwanini simba waweze?

    Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara. Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
  4. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

    Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola. Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

    FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza 78' Agosto wanapata goli la kwanza GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira Phiri anafunga goli zuri akimalizia pasi ya Chama 75' GOOOOOOOOOOOOOOOO 72' Agosto wanaweka mpira wavuni, lakini mwamuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shafih Dauda yuko Angola na Simba S.C, nimetokwa machozi

    Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu. Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
  8. JamiiForums Tanzania Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

    Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
  9. JamiiForums Tanzania Kila la kheri Simba S.C. kaeni mkijua taifa linawategemea

    Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili. Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga...
  10. JamiiForums Tanzania Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

    Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini. Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu. Naongea kiufundi sio kiushabiki Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
  11. JamiiForums Tanzania Simba S.C. kwenda Angola siku moja kabla ya mechi ni takwa la kiufundi au bajeti imekata?

    Na kama ni takwa la kiufundi mwambieni huyo aliyeamua hivi kuwa hii ni hatari na itatugharimu kimatokeo. Ningewaelewa Simba S.C. (hasa kiufundi) kama wangeenda Angola siku tatu kabla ila hii ya kwenda siku moja kabla ya mechi (yaani Jumamosi na kucheza Jumapili) ni hatari kimchezo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa 1st August Simba anapigwa nje ndani

    Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4! Nafikiri nimeeleweka.
  13. JamiiForums Tanzania Soka ni burudani, hii mechi iliisha Simba 3-1

    Mpira ni starehe, mpira ni ubishani, mpira ni ushabiki. Wewe na hisia zako za kidingi baki nyumbani au tafuta mchezo mwingine.
  14. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

    Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC tukishinda leo nitafurahi, ila kiufundi nina wasiwasi na mazingira yake

    Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja. Kwanini GENTAMYCINE nina...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  19. JamiiForums Tanzania TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  20. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…