simba

  1. JamiiForums Tanzania Mwaka jana Simba ilianza hivi hivi 2 -0 ikaja kutolewa Kwa mkapa 3-1

    Ndiyo balaa la Jwaneng Galaxy wanajisahaulisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuchakata uongo dhidi ya Simba na mawakala wake, wapandieni dau wako sokoni wanajiuza

    Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

    Hii ni taa ya tahadhari, Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa. Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoko mpya wa Simba: Unaweza kuvaa ofisini

  5. JamiiForums Tanzania Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?

    A. Simba SC ya Mgunda? B. Simba SC ya Matola? C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki? D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Zalan 0-4 Yanga | CAF Champions League | Uwanja wa Mkapa | 10-09-2022

    FULL TIME: Yanga imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-0, timu hizo zitarudiana wikiendi ijayo Mayelee anafunga bao la nne na la tatu kwake 88' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Mayeleeeeeee GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 82' Zalan wanajaribu kufanya shambulizi la kushtukiza inashindikana 80'...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  9. JamiiForums Tanzania CAF: Yanga, Simba zipo uwanjani leo Septemba 10, 2022

    Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi. Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na Zalan ya Sudani Kusini kwenye Uwanja wa Mkapa, Simba ipo Malawi kucheza dhidi ya Nyasa Big Bullets...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

    Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC. Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Mgunda na Kibu Denis, sote tukubaliane Bila masharti , Simba ni liduude likubwa Sana!

    Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga Wala hakuna kelele ambazo zingesikika! Sasa tuje Kwa Juma Mgunda, Yeye alishafundisha mpaka Timu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

  13. M

    JamiiForums Tanzania Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

    CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba ni lipi haswa?

    Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa A. UONGOZI B. MWEKEZAJI C. WACHEZAJI D. BENCHI LA UFUNDI Tafadhali piga kura yako hapa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona kwa sasa Timu Bora Tanzania kama Yanga SC na Mbovu kama ya Simba SC

    Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephane Aziz K 11. Bernard Morison Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

    Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba nawasifu kwa kujua kutunza siri

    Mgunda tulipata habari zake akiwa airport hakuna cha gazeti wala wacha mbuzi uchwara waliojua kinachoendelea. Zoran pia ilikuwa ni suprise ya hatari kuwa katemwa. Yule mzungu pori ndio alikuwa akivujisha siri za chumbani
  19. JamiiForums Tanzania Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

    Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…