simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba Sc ijiandae na fitna nchini Angola

    By ELIUS KAMBILI NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja. Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimethibitisha TFF inaendeshwa na Simba

    Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison. Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala. Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Simba sitisheni kumualika zungu kama mgeni rasmi

    Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
  4. JamiiForums Tanzania Simba Sc kukomba zaidi ya Bilioni 2.3 CAF

    CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League ▪︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million) ▪︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million ▪︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million ▪︎ Timu zitakazofika robo: $800,000 Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika...
  5. JamiiForums Tanzania Simba katika mipango ya kumsajili Fei Toto baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu

    Inaelezwa kwamba simba wapo katika mpango huo baada ya kuachana na Chama mwisho wa msimu huu.
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

    Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
  7. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga, na vilabu vyote, vitengo vyenu vya habari vijiongeze vifanye majukumu yao kikamilifu

    Kila siku huwa najiuliza hivi ni kweli hivi vilabu vyetu vina vitengo kabisa vya habari na mawasiliano? Au ukishakuwa na smartphone na kujuwa kubwabwaja na kupost mipasho ndio imeisha hiyo? Mimi Leo naomba niwaongeze ili msijizime data mjiupdate, wachezaji masuper star majina yao yanatumika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

    FULL TIME: Simba imeshinda kwa magoli 2-0 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza. 85' Dejan anampa pasi nzuri Sakho, shuti linatoka nje kidogo ya lango. 83' Phiri anatoka anaingi Dejan. 75' Shangwe za mashabiki zinaongezeka baad aya kumuona Dejan akipata misuli. 70' Simba wamepunguza kasi, 61'...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Simba na Yanga wana official anthems?

    Eti wakuu. Hizi timu zina nyimbo rasmi?
  12. JamiiForums Tanzania Onyango alivosikia Kisinda amerudi Yanga akaomba kuondoka, alivyosikia TFF wamemfungia akarudi Simba, asiyempenda karudi, sasa itakuwaje?

    Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu. Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
  13. JamiiForums Tanzania Simba SC nawaomba Okra awe anaanza Kikosi cha Kwanza na Sakho atokee Benchi au hata asipangwe kabisa

    Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho. Na kama kuna Mchezaji ambaye Simba SC ni muhimu, tegemeo na Lulu Kwetu kutokana na Kipaji chake Tukuka ( tena kumzidi...
  14. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda akiaminiwa anaweza kuiduwaza simba!

    Simba ya mwaka huu ni mbovu zaidi kuliko ya mwaka jana! Usajili wa mwaka huu haueleweki kabisa! Lakini tukimuamini Mgunda anaweza kutuvusha.
  15. JamiiForums Tanzania James Samwel: Mpira ulishatoka kabla ya Simba kufunga goli lao

    Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Simba hatuna kocha wa makipa kocha wa viungo kwa sasa

    SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI. Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
  17. B

    JamiiForums Tanzania Octoba 23 2022 ni Yanga VS Simba

    Wanasimba mwezi wa KUMI unakuja. Tufanye nini ili tuweze kuwafunga YANGA msimu huu. TUmechoka sasa kufungwa kila mara. Mikakati iwekwe mapema tuwaue hawa utopolo this is too much. Angekuwepo Hans Pope nisingekuwa na naiwazia mechi hiyoo ila kwa sasa Viongozi wa simba hawapambani sana kama...
  18. JamiiForums Tanzania Benjamin Asukile: Hatuwaogopi Simba waje kwa tahadhari

    Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya. "Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

    Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa...
  20. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…