Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.
Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga.
Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
SIMBA VS YANGA;KIKOSI CHA YANGA KILICHOFUNGWA NA SIMBA NI SAWA NA KIKOSI KILE KILICHOKUWA KINAFUNGWA SANA NA MZEE WA KIMINYIO MADARAKA SULEIMANI.
Leo 10:15hrs 17/04/20223
Mwaka 1994 timu ya Yanga ilikuwa na timu bora sana lakini kikosi hicho bora kililegezwa na mgogoro mkubwa wa Yanga asili na...
Pengo la matola kwenye Debi ya Simba na Yanga limeonekana!
Gemu hizi zilikuwa dili kwa watu!
Hongera Simba kwa kumstafisha kwa heshima!
Aendelee kubakia hukohuko shule anakosoma
Manara, Wawa, Matola na Manula kwenye mechi za debi zilikuwa ni ..........kwao
Wanasimbaaaaa!
Najua leo rafiki zetu Uto nyuzi nyingi watakuwa wanapita kama hawazioni lakini ndio mpira na utani wa jadi.
Simba wameweka mpira wetu kwenye ramani misimu 5 sasa na kufanya hata ligi yetu iongezeke thamani. Hata ubora wa sasa wa Yanga benchmark yao ni Simba kuanzia mfumo wa...
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo
03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021...
Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu...
Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13.
Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo.
"Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na...
Kwa matokeo ya leo 2-0 dhidi ya Yanga, hakuna shaka tena kuwa hawadaiwi na mashaabiki wao, iwe wakipoteza dhidi ya Wydad na hata wasipochukuwa kombe la NBC au la Azam Confederation.
Kazi wameimaliza leo. Tukutane msimu ujao.
Inafurahisha kuona vijana wanalunyasi wakishangilia mambo ambayo yanasikitisha! Kwao kuifunga Yanga ni ushindi na ubingwa tayari😄
Mpaka sasa Simba wana makombe mawili moja la kutinga robo fainali na mbili ni kuifunga Yanga.HONGERENI SANA WATANI
Mechi 10 zilizopita baina ya Simba dhidi ya Yanga katika Ligi Kuu Bara tangu Msimu wa 2017/18, kila timu imeshinda mechi 2 huku sare zikiwa ni 6.
29/04/2018: Simba 1-0 Yanga
30/09/2018: Simba 0-0 Yanga
16/02/2019: Yanga 0-1 Simba
04/01/2020: Simba 2-2 Yanga
08/03/2020: Yanga 1-0 Simba...
Kinara wa mabao kwenve kikosi cha Yanga na Ligi Kuu Tanzania Bara, Fiston Mayele mwenye mabao 16 hadi sasa, ameifikia rekodi yake ya msimu uliopita na sasa anasaka kuivunja.
Baada ya kukosa tuzo ya ufungaji boramsimu uliopita iliyokwenda kwa George Mpole (Geita) kutamba
na kumaliza msimu aki wa...
MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno...
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli siku hazigandi.
Ndio ni Kariakoo Derby, ni Simba Sc Vs Yanga Sc katika dimba la Benjamin Mkapa jijini...
Wapinzania wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga, Ghalib Said Mohamed wa pili kutoka kushoto...
Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake.
July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...