simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Simba wameonyesha Watanzania tukidhamiria na kuwekeza tunaweza

    Kwa game aliyocheza Simba uharabuni NI wazi kwamba sasa Tanzania tupo mbele kwenye kila secta. Royal tour tumepiga promo na kwenye Mpira tumeanza kuwatunishia wakubwa misuli. Tunahitaji kuwa na wanasiasa serious wanaoweza kufanya mambo serious Kwa ajili ya kudhibiti rasilimali zetu. Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Simba kuvaa bips za umbro imekaaje?

    Inamaana mkataba na VS umeisha mpaka wanavaa bips za mazoez zenye nembo ya umbro
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hisia: Wydad 4, Simba 2

    Huu sio utabiri bali ni hisia zilizonitokea dakika kama moja iliyopita Matuta yanaweza kuhusika. Tusubiri, dakika 90 ndio msema kweli.
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi Simba SC waapa kuandika rekodi Afrika

    Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa, mpango kubwa ni kuandika rekodi nyingine ya kumvua ubingwa bingwa wa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad AC ya Morocco. Simba SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira maarufu Robertinho, leo Ijumaa (Aprili 28) ina kibarua cha kuhakikisha inatinga...
  6. JamiiForums Tanzania SIMBA leo anashinda

    Habari zenu.. Sina mengi na tabiri kuwa simba atashinda leo.. Wydad 1-simba 1... Hii liwekeeni kumbukumbu baadae nahitaji maua yangu.. Dalili zote nishaonyeshwa na sitaki kukuambia aliyenionyesha. Mimi ni shahiki wa yanga nadiliki kusema simba wanashinda..
  7. JamiiForums Tanzania Simba yapewa odds mlima kwenye kampuni za betting! Mhindi hajawahi kuliwa.

    Mhindi hajawahi kubahatisha pale linapokuja swala la betting, Simba Sc kupewa odds kubwa dhidi ya mpinzani wake Wydad AC ina maana gani? Ni mtego au? Mliosoma Cuba tuna mtudadavulie tafadhali
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya viongozi wa Simba wanamsumbua Msuva wiki hii yote

    Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje...
  10. JamiiForums Tanzania Simba inatisha nyie, baadhi ya makampuni ya kubeti yanahofia kuiweka mechi yake mpaka sasa

    Simba mkubwa Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia Tena mpaka mechi za mwezi August zipo Why not ya Mnyama!? Mnakhofia nini!? Wydad kawapenyezea Fungu nini!? Nevertheless: Wydad 1-2 Simba NB:Ushabiki...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Dar es Salaam nitajie Ukumbi usio na Yanga wengi Kesho nije tuiangalie Simba yetu pamoja

    Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa. Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90%...
  13. JamiiForums Tanzania Mratibu Simba SC Abbas na Msemaji nimeambiwa mnanisoma mno hapa haya nifikishieni Usiku huu Ujumbe wangu kwa Kocha Robertino

    Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza. Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili...
  14. JamiiForums Tanzania Simba SC kufungwa goli 2 - 1 na Wydad

    Mpaka sasa nje ya uwanja Wydad anaongoza mbili kwa moja, ngoja tusubiri ndani ya uwanja tuone mambo yatakuwaje.
  15. JamiiForums Tanzania Simba Kaizer chiefs wakawe roll model wenu

    IItazameni Game ya seminal final 1st leg Wydad vs Kaizer chiefs mkopi na kupaste lazima mtoboe. Kazi kwenu.
  16. JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini na drones wakati wa mazoezi yenu Casablanca

    Nawapongeza Simba kwa kwenda mapema huko Casablanca kuzoea hali ya hewa hasa ya majira ya jioni ila faida hiyo ya kwenda mapema ina hasara zake. Ningeweza kupendekeza mazoezi yangefanyikia hata Tunisia ambako hali ya hewa haitofautiani sana na ya Morocco halafu Simba waingie Casablanca siku moja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaandae Kisaikolojia wachezaji wa Simba: Ugeuzeni uwanja wa Wydad katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa

    Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona kama wako kwenye dimba la Kwa Mkapa! Kama kawaida, Kwa Mkaa hawatoki!!
  18. JamiiForums Tanzania Simba jiandaeni, mnaona Arsenal yanayomkuta?

    Mashabiki wa simba wanasema mpira unamaajabu sikatai ni ukweli na maajabu ndio kitu yanafanya mpira upendwe. Ila sio kama mashabiki wa simba munavyoamini kua maajabu yapo mda wowote hapana.Maajabu kutokea hua ni nadra sana na ndio maana yakaitwa maajabu. Sa nahisi wengi mnafatilia hii match ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wydad wamekwishatolewa na Simba, amini maneno yangu

    Kwa mechi ya kwanza pale Lupaso, Simba akashinda 1-0, bonge la mtaji na kuifanya timu ijiamini kwenye mechi ya marudiano. Kocha nimemwelewa namwamini.
  20. JamiiForums Tanzania Simba hajawai kufika fainali kumbe la CAFCL hata kabla halijapewa jina hili jipya

    Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na vijana wakiwa wengi kuliko wazee ambao vijana tunaonekana ndo watu ambao tunaweza kuikomboa nchi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…