simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Uongozi wa Simba SC umejaa walokole na maustadh, tunahitaji wahuni na watoto wa mjini pale juu vinginevyo ubingwa tutausikia redioni

    Mpira ni mchezo wa kihuni utake usitake. Siku mtoto wa mjini Zachary Hans Pope anafariki nikajua ubingwa basi tena. Mpira unataka wahuni na watoto wa mjini wenye uwezo wa kupora mchezaji anayetaka kusajiliwa na mahasimu kibabe, sasa Simba imekuwa ya kuporwa wachezaji airport kweli, bila...
  2. FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

    Saa 2:15 usiku Simba SC, kukipiga na Namungo FC. Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya fainali? Kuungana na Azam Fc? Ni kufa au Kupona mmoja Lazima aende kupambana na Azam FC. Je, tutashuhudia Mikwaju ya Penalt Tena? Tuwe pamoja
  3. Simba SC leo dhidi ya Namungo FC tumalize shughuli ndani ya '90 minutes' kwani tukienda 'Matuta' tunatolewa, hatuna akina Vicent Aboubakar wengi

    Katika hili wala tusifichane Simba SC ya sasa haina Wapiga Penati na hata Wapiga Faulo mahiri (kama Vicente Aboubakary wa Timu ya Taifa ya Cameroon) na Wachezaji walioko wameshatuthibitishia hilo kama Bwalya Rally na Nyoni Erasto. Hivyo basi kuelekea mtanange Wetu wa leo Usiku Mapinduzi Cup...
  4. Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

    Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui. Ila kwa huyu Nusu...
  5. Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

    1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
  6. Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  7. Wale 'Waswahili' ambao 'mlinidhihaki' pale niliposema kuwa Mchezaji Pape Ousmane Sakho ni Hazina na kamwe asiachwe Simba SC mpo wapi leo?

    Yaani kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niseme Jambo au Kitu fulani halafu nikosee au nisiwe na uhakika nalo? au nimpende Mchezaji fulani kama nimpendavyo Khalid Aucho, Yanick Bangala, Jonas Mkude na Pape Ousmane Sakho halafu nikosee au wasiwe Wazuri kama nilivyowaona na Kuwasoma Kiuwezo? Asante...
  8. Simba SC 2-1 Azam FC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Happy New Year Kwa Jamii Sports Members Wote ! Salamu za Mwaka Mpya Ziwe nanyi Popote Pale Mlipo Katika Dunia Hii Ambayo ni Sayari Ya 3 Katika NBC Premier League, leo tunauanza mwaka mpya wa 2022 kwa mzizima derby ni Simba Sc dhidi ya Azam FC Mechi hi itapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa...
  9. M

    Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  10. Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

    Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili. Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye mabadiliko akawa hapokei simu,tuliona hata kwenye tv Gomes anapiga simu haipokelewi,mwisho wa siku...
  11. Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

    Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa? Kwa msiojua English msikilize Hitimana
  12. Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  13. Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  14. Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  15. Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
  16. Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea nikimpenda na Kumkubali Mtu kwani nina Jicho la Uhakika na la Kuona mbali pamoja na Ubora wa Mtu / Kitu. Simba SC koseeni kote ila msithubutu Kumuacha (Kumtema) Mchezaji Raia wa Senegal Ousmane Papi Sakho kwani mtakuja Kujuta na Kunikumbuka hadi Kumkubuka na Yeye...
  17. Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
  18. Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

    Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
  19. Ukweli mchungu: Simba tuliingia mechi ya leo tukiwa hatujiamini

    Ni ukweli usiopingika kama timu hatukupenda kuingia game hii kwa wakati huu. Nilitazama barabarani, vibanda umiza na popote hata mashabiki wetu hawakujiamini kama msimu ulioishaId Idadi ya watu waliovaa jezi zetu bado ilikuwa ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya karibuni nafikiri ni...
  20. M

    Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…