simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wale mlionidhihaki na kunibishia niliposema hapa JF kuwa Manzoki haji Simba SC mbona hamnipigii 'Salute' yangu?

    Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na...
  2. JamiiForums Tanzania Karma ndiyo inamtesa Okrah Simba SC na itamtesa mno hadi akamwombe Radhi Mzungu Dejan kwao aliko

    Okrah ndiyo kwa 99% alisababisha Mzungu Wetu Dejan asiwe na Furaha ndani ya Simba SC mpaka Kukereka na kufikia Kuchukua yale Maamuzi aliyoyachukua ya Kuondoka. Okrah huyu huyu ndiyo alikuwa akimtukana Mzungu wa Watu Dejan na Kubwa zaidi akiwashawishi Wachezaji wenzake Waswahili wamtenge...
  3. JamiiForums Tanzania Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

    Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri. Nawaombeni rejeeni marejeo...
  4. JamiiForums Tanzania Simba SC yamsajili Mshambuliaji wa Malindi, Mohamed Mussa "Manzoki wa Zanzibar"

    Klabu ya Simba almaarufu Wekundu wa Msimbazi leo imetangaza kumsajili Mshambuliaji kutoka Malindi ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo anayefahamika Kwa jina la Mohamed Mussa au Manzoki wa Zanzibar ndio kinara wa mabao kwenye ligi ngumu huko visiwani Zanzibar na inasemekana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba SC yatumia zaidi ya 1.8 Billioni kuweka kambi Dubai

    Yaah, Simba ni club kubwa ndio, lakini kiasi hiki kinafikirisha sana kwenda kuweka kambi siku 8 na michezo miwili na timu ambazo "inasemekana" zili field wachezaji wa timu B. Kuna mdau mmoja katupia swali kwenye Facebook kwamba, "Haya ni maandalizi tu au kuna cha ziada"?
  6. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  7. JamiiForums Tanzania Simba SC hatujamaliza, tunashusha mchana vyavu usiku huu

  8. H

    JamiiForums Tanzania FT || Simba Sc 2 Vs 2 CSKA Moscow

    Fuatilia live mtanange huu kwa link hii
  9. JamiiForums Tanzania Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  10. JamiiForums Tanzania Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  12. JamiiForums Tanzania Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

    1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe. 4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko. 5...
  13. JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

    Na bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika. Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu...
  15. JamiiForums Tanzania Godfrey Nyange Kaburu kama Jambo hili tu jepesi na la Kikawaida limekushinda je, Uongozi wa Simba SC yetu utauweza?

    Utaratibu wa Wagombea uliwekwa wazi na hata Fomu ulizopewa zilijieleza kuwa kunatakiwa kuwe na Mhuri wa Kisheria na Saini yako Wewe kwa Kujifanya Alwatan ndani ya Simba SC ulivyojaza umeweka tu Mhuri bila Saini na Kuiwasalisha kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC ulitegemea nini...
  16. JamiiForums Tanzania Leo namaliza rasmi Utata wa Manzoki kuja Kuichezea Simba SC Dirisha hili Dogo

    Wana Simba SC Wenzangu kuanzia leo anzeni Kumsahau na kuachana nae kabisa Mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki kwa nina Uhakika wa 100% na najiamini kabisa kuwa hatokuja tena Kuichezea Simba SC hasa kwa Dirisha hili Dogo labda itokee tu kwa Msimu ujao. Hivyo basi niwaombe Mwenyekiti wa Bodi ya Simba...
  17. JamiiForums Tanzania Mikakati hii ya kimafia ikifanyika Simba SC itakuwa Bingwa, wasiwasi wangu uko kwa Uongozi wenye kusalitiana

    Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
  18. JamiiForums Tanzania Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC nawasihi sana tulizeni Vichwa vyenu kwa Sajili za Dirisha hili Dogo

    Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…