simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

    Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu. Kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba SC. Tanzania kwanza

    Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika. Leo watakipiga katika dimba la nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa, wakiwakaribisha vibonde wenzao katika kundi...
  5. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

    Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana. Huu ni mchezo ambao Simba anahitaji alama zote 3 kwa hali na mali ili kujiwekea mazingira mazuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba SC ikizifunga Timu Pinzani (ikiwemo Yao) Goli Nyingi (Dazani) haitambi Kishamba kama Wao?

    Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama Wao. Wakimbahatisha tu Kumfunga Mjinga Mjinga Goli nyingi Wataanza Kutamba Mitaani, Mitandaoni na...
  7. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafuatao wa Simba SC wasipangwe Mechi ya leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC

    Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC ili wasicheze Mechi Mbili Muhimu za Kimaamuzi za CAFCL ile ya Vipers FC tarehe 7 March 2023 na ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ateua wajumbe wapya Bodi ya Simba SC

    Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Simba SC kipi kati ya haya mawili kilikuwa cha muhimu ilipocheza na Vipers FC leo Kampala?

    Je; 1. Simba SC icheze mpira wake wa Samba Loketo ila ifungwe au iambulie sare/suluhu kisha timu na mashabiki tuvurugane zaidi, tuchapane bakora, tuchekwe na watani zetu Yanga SC na mgogoro uzidi Kukua. au 2. Simba SC icheze vibaya kama ilivyocheza leo (tena ikiwa ugenini) Jijini Kampala...
  10. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wote mnaomtukana, kumdharau na kutomtaka Kibu Denis akirejea kutoka Kampala mkamuombe Radhi

    Katika uzi wangu wa leo ambao pia nilijaribu kupanga vikosi vyangu viwili tofauti ambavyo niliona vingetupa matokeo na mwishoni, nilisisitiza mno kuwa mechi ya leo kwa uchezaji wa kutumia nguvu nyingi walionao waganda ingemfaa sana na angeisaidia Simba SC kimchezo. Huhitaji kupoteza muda au...
  11. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Vipers vs Simba & Real Bamako vs Yanga

    Wadau wa michezo, weekend hii tutashuhudia game za kibabe katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika sambamba na ile ya Kombe la Shirikisho. Pamoja na kuwa game nyingi ila hapa mimi nitajikita katika kutabiri game mbili tu, hasa zinazotuhusu sisi Watanzania. Utabiri huu utazingatia zaidi hali ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nawapa 100% Yanga SC kufuzu Robo Fainali CAFCC na Simba SC 200% kutofuzu Robo Fainali CAFCL?

    Tayari Yanga SC ina Alama 3 hivyo akitoka tu sare/suluhu huko nchini Mali dhidi ya Real Bamako FC atakuwa na alama 4 au 6 kama akishinda. Mechi yao ya marudiano Dar es Salaam nchini Tanzania Yanga SC akishinda atakuwa na alama 9 na hata kwa bahati mbaya akitoka suluhu bado atakuwa na alama 5...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la matokeo mabaya ya Simba SC ni viongozi viburi na ubahili kwenye sajili

    Waswahili walisema Ukipanda mchicha usitegemee kuvuna mahindi. Huu ni usemi Ambao unadhihirika kwenye timu yetu ya Simba. 1. UBAHILI 2. KIBURI 3. KUTOKUSIKILIZA USHAURI Hakuna timu Ambayo imesajili quality players Isipate matokeo Mazuri Uwanjani. Ukisajili vizuri utapata matokeo mazuri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoka kwa Ahmed Ally msemaji wa Simba SC

    Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!! Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma Hongereni mashabiki wetu ambao hii leo pia mmeendelea kutuunga mkono🙏🙏
  16. T

    JamiiForums Tanzania TBC, kutumia picha za Simba SC katika habari yenu ya ushirikina si sawa

    Huu ni weledi gani kwa TBC? Iweje mtumie matukio ya Simba kuhusianisha na ushirikina? Mmekosa namna bora ya kuwasilisha habari yenu bila kuitaja Simba? Bila shaka mtalifanyia kazi na kuwahoji walioandaa na kuitoa habari hiyo. Ni lazima watakuwa na vinasaba vya utopolo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

    Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume. Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Azam FC msipotufunga Simba SC Keshokutwa ( Jumanne ) nitawalaumu na nitawadharau sana

    Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
  19. JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji tuachie Simba SC yetu ili uendelee na Maisha yako kwani siyo Siri tumeshakuchoka na Usanii wako

    Tajiri namba 13 Barani Afrika kamwe hawezi Kumnunua Ishael Sawadogo ambaye amekaa Miezi 10 bila Kucheza Ligi Kuu yoyote ile. Tajiri namba Barani Afrika kamwe hawezi Kumsajili (tena kwa Mkopo) Michezaji Jean Baleke ambaye ni Makapi kutoka kwa Wanaojua TP Mazembe. Mo Dewji tuachie tu Simba SC yetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…