simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Young African imekuwa tishio kutokana na uongozi imara. Simba jifunzeni kwao

    Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya. NB: Young African...
  3. JamiiForums Tanzania Nawaomba TFF wachukue mapema alama zote za Simba SC wapewe Yanga na Azam kabla Ligi Kuu ya NBC haijaanza

    Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

    Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama. Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani. Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

    Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana. Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
  8. JamiiForums Tanzania SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

    Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things. Very soon...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
  11. JamiiForums Tanzania Naiona Simba SC ikifungwa na Coastal Union

    Kama coastal iliweza kupata goli mbili kwenye mechi na Azam basi kesho tusishangae kuona Simba ikifungwa tena na wana mangushi. Wazee wa mikeka muuweni Simba, muuweni Azam mtakuja kunishukuru kesho.
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba waanza mchango kwa ajili ya kumchangia legend Magoma akate rufaa

    Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa. Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga Vs Simba ngao ya Jamii, Mechi iliyochezeshwa Kwa kiwango cha chini cha Uamzi.

    Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi. Heri Sasii Mohamed Mkono Kassimu Mpanga Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0. Soma...
  14. JamiiForums Tanzania Performance nzuri ya Simba kwenye derby ya 8/8/2024 haiifanyi Simba kuchukua taji lolote msimu huu, labda misimu miwili mbeleni

    Baada ya mechi, nimesikiliza maoni mengi sana, mashabiki wengi wa Simba wanasema, Simba hii imeinalika, sawa imecheza vizuri, lakini nawahakikishia, wataendelea kucheza vizuri hivyo hivyo na bado watafungwa na singida, Azam, KMC au JKT. Unajua kwanini? 1. Simba bado haijapata strikers wa...
  15. JamiiForums Tanzania Simba mpya mbele ya Yanga Bora

    Ni kweli Simba SC wamejitahidi kubadili kikosi, na angalau wachezaji wameonesha utofauti kulinganisha na kikosi kilichopita. Lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiki kikosi cha Simba SC hakiwezi kuifunga Yanga SC ambayo ni bora kwa sasa barani Afrika. Tazama hata magoli yaliyokataliwa, ni magoli...
  16. JamiiForums Tanzania Simba kanyimwa penalty halali

    Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty. Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Bado wadogo wanakua, tuwape muda

    Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda. Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
  19. JamiiForums Tanzania Timu inakimbia hovyo uwanjani, Mo atuachie timu yetu Ong bak aondoke

    Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi. Soma Pia: FULL...
  20. JamiiForums Tanzania Rasmi derby ya kariakoo imekufa, Simba wamekuwa dhaifu kipindi kirefu

    Mechi ya derby ya Leo Yanga tupo kama tumecheza na Namungo Simba tumewafunga sana, yaani huu mwaka wa 4 mnakuja kwenye mechi kama under dog🐕 Derby hauvutii kabisa, Simba haina wachezaji wazuri Wazee wa ubaya ubwela mnayumba. Mara MUKWALA- ni striker mrefu kuliko goli kumbe mbumbumbu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…