simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Ahmed Ally: Simba SC tunajivunia pakubwa, makocha wote walioipeleka Taifa Stars AFCON wanadamu ya Simba SC

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Pia, Soma: Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya...
  2. Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

    Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC Bravo ya Angola, katika mchezo wa tarehe 27 Novemba 2024, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin...
  3. Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

    Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
  4. Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

    Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal. Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC...
  5. Siku 511 za ubabe wa Gamondi kwa Simba

    Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi...
  6. Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  7. Fikiria kungetokea nini kama vilabu vya Simba na Yanga vingeshiriki michuano ya CLUB WORLD CUP

    Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA. Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32. Fikiria nchi yetu kwa timu hizi kubwa za Simba SC na Yanga SC zingepata bahati ya kushiriki ingetuweka...
  8. RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC

    Wakuu Mmesikia huko? Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameahidi kitita cha shilingi milioni 50 kwa timu ya Tabora United iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao. Chacha alitoa ahadi hiyo leo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, Kitete, wakati wa zoezi la...
  9. Pigo kwa Simba: Joshua Mutale aondolewa kwenye mechi za Kufuzu AFCON 2025 baada ya kuumia

    Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19. Mutale, aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC na alijumuishwa kwenye kikosi cha Chipolopolo, lakini taarifa zinathibitisha...
  10. Wydad ingeiachia Simba fursa ya kucheza Club World Cup

    Ukiangalia mwenendo wa Wydad unaona kabisa no timu ambayo itachukua muda mrefu sana kukaa sawa. Club World Cup ni mwakani na Wydad ndiyo kwanza imefungiwa kufanya usajili kwa hiyo zoezi la kuboresha timu linazidi kuwa gumu. Si muda mrefu watatimua kocha wao. Naona kabisa huko World Cup...
  11. Kamwe usiruhusu Mtoto wako awe Mshabiki wa Simba na Yanga. Atakuwa fala

    Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa. Hamna akili. Kauli anazotoa Ali Kamwe kwa sasa au anachoandika kinaonesha alipata udumavu wq akili au...
  12. M

    Ni kwanini Yanga au Simba hawautumii uwanja wa Uhuru

    Ninajiuliza inakiaje waende Azam na baada ya kukimbia Azam wamekwenda KMC. Mbona uwanja wa Uhuru shamba la bibi upo vema tu. Au umefungiwa?
  13. M

    Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

    Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
  14. Hamuutaki sasa Uwanja wa Azam Complex baada ya kuchezea Vipigo viwili mfulilizo, kwani Azam na Simba waliwalazimisha Kuutumia?

    Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie mlikuwa mnatamba kuwa Uwanja wa Azam Complex una Bahati sana Kwenu na mtautumia kwa Mechi zenu zote...
  15. Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

    Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex. Hii ni tuhuma nzito...
  16. B

    Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  17. Simba wawe makini sana dhidi ya KMC

    -Simba vs Kmc Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza. Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa...
  18. Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

    Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
  19. Straika wa zamani wa Simba, Ali Ahmed Ali “Shiboli” afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kukutwa na Bangi

    Mtuhumiwa: Ali Ahmed Ali (Shiboli) Shauri ni jipya Mshtakiwa amesomewa shtaka lake na Mwendesha Mashtaka Juma Ali Juma mbele ya Jaji Salum Hassan Bakar. Mshtakiwa amekata shtaka lake. Mtuhumiwa yupo Rumande hadi tarehe 19.11.2024 kwa kutajwa.
  20. Bodi ya Ligi mnatengeneza mazingira Simba kuchukua ubingwa, Kwanini mechi iahirishwe na wengine wafululize michezo licha ya ugumu wa ratiba?

    Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…