simba day

Simba is the protagonist of Disney's The Lion King franchise. Introduced in the 1994 film The Lion King, Walt Disney Animation's 32nd animated feature, the character subsequently appears in The Lion King II: Simba's Pride (1998) and The Lion King 1½ (2004) as well as the 2019 remake of the original film. Simba was created by screenwriters Irene Mecchi, Jonathan Roberts and Linda Woolverton. While Mark Henn served as Simba's supervising animator as a cub, Ruben A. Aquino animated the character as he appears as an adult.
Simba was inspired by the character Bambi from Disney's Bambi (1942), as well as the stories of Moses and Joseph from the Bible. Additionally, several similarities have been drawn between Simba and Prince Hamlet from William Shakespeare's Hamlet. In 1997, The Lion King was adapted into a Broadway musical, with actors Scott Irby-Ranniar and Jason Raize originating the roles of the cub and adult Simbas, respectively. JD McCrary and Donald Glover voice the cub and adult Simba respectively in the CGI remake.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kutumia “Yanga day” — je, ni kuiga Simba day?

    Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026. Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa sio Simba day, bali yalikuwa maonyesho ya wanyama pori. Straika anapiga kichwa kurudisha nyuma mpira

    Badala ya kuleta wachezaji makini na hodari mnaleta Simba wa porini toka ngorongoro. Sio mbaya watu wengi wa Dar hawana uwezo kwenda mbugani kuangalia wanyama. Mbaya zaidi Straika anasaidia timu pinzani kuokoa mpira.
  4. JamiiForums Tanzania Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  5. JamiiForums Tanzania Simba Day yaingia doa yakubali kichapo | Simba SC 0-1 Kenya Police | Mechi ya kirafiki | Uhuru | Agosti 8, 2026

    Klabu ya Simba SC imekubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kenya Police FC ya nchini Kenya katika mchezo wa Simba Day uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru. Matokeo hayo yamekuja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Simba Day, huku Kenya Police ikiibuka na ushindi muhimu mbele ya mashabiki wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally aingia na Simba Wanyama uwanjani kwenye tamasha la Simba Day

  7. JamiiForums Tanzania Mnajua anacho kifanya Mzee Hassan Dalali kuzunguka uwanja leo Simba Day? Uchawi wa mwaka 1993

    Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina.. Eti muasisi wa Simba Day azunguke uwanja kusalimia mashabiki.. 🤣🤣 Mnatuona wote watoto eeh? A nacho kifanya huyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally; nitaingia na ungo uwanjani

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Sc, Ahmed Ally ametanabaisha kwamba siku ya Simba (Simba Day) Jumamosi Agosti 8, 2026 ataingia Uwanjani kwa namna ya tofauti ambapo ataingia kwa kupaa na ungo.
  9. JamiiForums Tanzania Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  10. JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoona kuhusiana na matamasha ya Simba Day na Yanga Day

    Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day. 1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu Simba na Yanga kubadili mentality zao kiuendeshaji

    Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  12. JamiiForums Tanzania Wazo: Kwanini kusiwe na Taifa Day kama ilivyo Simba Day na Yanga Day!?

    Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani, michezo, biashara, na kutangaza klabu zao. Lakini je, kwa nini sisi kama taifa hatuna siku kama...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Simba jana Kuvimba, CCM kuandaa Mamluki Tamasha la Yanga

    GT Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa. Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele. Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000...
  14. JamiiForums Tanzania Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

    Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

    Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali Yaani tukio la leo limezidi hata maandano ambayo polisi huzuia Kwa nguvu kubwa, Sasa ni dhahiri ujumbe umefika kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo foleni ya mashabiki wa Simba wanaosubiri kuingia uwanjani muda huu

    Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
  17. JamiiForums Tanzania Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  18. JamiiForums Tanzania Simba iangalie uwezekano wa kuleta wasanii wa kimataifa kutoka nje katika Simba Day zijazo

    Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa. Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea Simba day na msimu mpya 2025/26, unatamani Simba iwe ya aina gani kiuchezaji??

    Habari wakuu. Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji?? Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi. Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Hii ni siku maalum kwa mashabiki, na wanafamilia wote wa Simba SC Club kuitazama timu yao baada ya mapumziko ya muda/pre season ili kujiandaa, kufanya usajili bora na kufanyia maboresho baadhi ya makosa yaliyofanywa msimu uliopita. Simba itafanya utambulisho wa wachezaji wapya na kucheza game...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…