Simba is the protagonist of Disney's The Lion King franchise. Introduced in the 1994 film The Lion King, Walt Disney Animation's 32nd animated feature, the character subsequently appears in The Lion King II: Simba's Pride (1998) and The Lion King 1½ (2004) as well as the 2019 remake of the original film. Simba was created by screenwriters Irene Mecchi, Jonathan Roberts and Linda Woolverton. While Mark Henn served as Simba's supervising animator as a cub, Ruben A. Aquino animated the character as he appears as an adult.
Simba was inspired by the character Bambi from Disney's Bambi (1942), as well as the stories of Moses and Joseph from the Bible. Additionally, several similarities have been drawn between Simba and Prince Hamlet from William Shakespeare's Hamlet. In 1997, The Lion King was adapted into a Broadway musical, with actors Scott Irby-Ranniar and Jason Raize originating the roles of the cub and adult Simbas, respectively. JD McCrary and Donald Glover voice the cub and adult Simba respectively in the CGI remake.
Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako.
Let's say umewapeleka mlimani city hivi.
Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom.
Mkifika, wanaingia ndani.
Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
Hii ni tathmini yangu ya mambo 10 tuliyoyashuhudia katika matamasha ya Simba Day na Yanga Day.
1. Ni wazi mauzo ya jezi mpya za Yanga siyo mazuri. Jezi za Simba zimeuzika saana. Kuna tukio la Yanga la ugawaji jezi mpya bure kwa waliojitolea kutoa damu halafu anayesimamia ugawaji wa hizo jezi...
Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla.
Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani, michezo, biashara, na kutangaza klabu zao. Lakini je, kwa nini sisi kama taifa hatuna siku kama...
GT
Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa.
Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele.
Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000...
Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara.
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day
Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali
Yaani tukio la leo limezidi hata maandano ambayo polisi huzuia Kwa nguvu kubwa, Sasa ni dhahiri ujumbe umefika kuwa...
Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao.
DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa.
Simba huwa inaanza wengine wanafuata. Badala ya kuwapigia magoti hawa wasanii au kuokoteza underground, nadhani kuanzia msimu...
Habari wakuu.
Kuelekea Simba day Hapo kesho 7 sep 2025 na msimu mpya wa ligi kuu ya NBC, unatamani simba sc iwe ya aina gani kiuchezaji??
Mimi kila mwanzo wa msimu, huwa natamani sana kuiona Simba ikicheza mpira mzuri wa pasi na kasi.
Natamani sana ile Simba ya Pira birian irudi. Yaani Simba...
Hii ni siku maalum kwa mashabiki, na wanafamilia wote wa Simba SC Club kuitazama timu yao baada ya mapumziko ya muda/pre season ili kujiandaa, kufanya usajili bora na kufanyia maboresho baadhi ya makosa yaliyofanywa msimu uliopita.
Simba itafanya utambulisho wa wachezaji wapya na kucheza game...
Habari wadau.
Naona viongozi wanatuchezea mchezo wa kutupiga hela.
Mwanzo Wametuuzia tiket kwa ajili ya fainali ya shirikisho caf kwa mkapa.
Mchezo umehamishiwa zanzibar ila hawataki kuruhusu tiket hizo hizo walizotuuzia za fainali tukazitumie kuingia zanzibar kuchek fainali.
Wanasema...
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Timu ya Simba SC...
Kutokana na ushabiki wa Mchezo wa Mpira kukua kwa kasi ni muhimu sana wakumbuke pia kufanya mikoani ili kuwapa raha mashabiki.
Ningeshauri hata matamasha hayo yakafanyika kikanda na kuwa na mpangilio mzuri na wa Kisomi.
Kama inashindikana basi kabla ya Tamasha kubwa yatangulie matamasha madogo...
Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi.
Haya matamasha ni tofauti kabisa.
Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani.
Watu wa Yanga ni watu wa burudani, wana pesa na wanajitoa Kwa team Yao tofauti na upande wa pili
Simba hawana furaha team Yao haina...
Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja...
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho...
Nauliza tu, hasa baada ya kusikia nyimbo za Chidi Benzi, zimepigwa jana na leo, na matamashi haya are worth billions, na chidi anatembea kwa miguu hapo Dsm akiwa hana maisha
Naelewa Mashabiki wa Bongo issue kwao huwa ni matokeo tu wakipata magoli au ushindi ila Team inacheza hovyo wao ni kwishaa.
Na hapa sipo kuwaambia kuwa tarehe 8 mtafungwa.
Pitia saiv Youtube pale kuna Interview zinatembea mashabiki wanatoa hadi machozi wanasema hii simba waliyosajiliwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.