simanjiro

Simanjiro District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by Arusha Region, to the north east by Kilimanjaro Region, to the south east by Tanga Region, to the south by Kiteto District, to the south west by Dodoma Region and to the west by Babati Rural District. The district headquarters are located in Orkesumet. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Simanjro District was 178,693.

View More On Wikipedia.org
  1. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  2. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  3. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Kampuni ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani imetakiwa kuchimba kufuata leseni waliyopewa

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele. Lema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ninauza shamba zuri la umwagiliaji ekari 20 Londoto - Simanjiro

    Nauza shamba langu zuri la umwagiliaji lipo wilaya ya Simanjiro, msitu wa tembo - Londoto. Shamba ni nzuri sana lililojaa rutuba, karibu sana kwa yeyote anayehitaji, bei ni mil 60 mazungumzo kidogo yapo, mimi ndiye mwenye shamba. Karibuni sana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Manyara: Ngariba 37 wajisalimisha, wakabidhi visu vya kukeketea

    Katibu Tawala Mkoa wa Manyara, Caroline Mtapula amewataka mangariba katika Wilaya ya Simanjiro kuacha kukeketa watoto wa kike na kuwaozesha wakiwa katika umri mdogo kwani wanahaki ya kupata elimu, ni haki ya kila mtoto kike kupata elimu. Mtapula amesema kuwa mtoto wa kike anayestahili kwenda...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  8. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

    Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo; Ng'ombe - 35,746 Kondoo - 15,136 Mbuzi - 10,033 Punda - 1,670 ====== Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
  9. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Wananchi wachachamaa Katibu wa CCM kumsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji

    Wananchi wa Kijiji Cha Kilombero kata ya Chambarai wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara wametishia kuandamana Kwa mkuu wa wilaya hiyo kupinga kusimamishwa uongozi Kwa mwenyekiti wao Nguti Kirusu kulikofanywa na katibu wa CCM wilayani humo ,Ally Kidunda kinyume Cha utaratibu. Wakiongea katika...
Back
Top Bottom