silaha za nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumiliki silaha za nyuklia ndio njia pekee ya kuihakikishia nchi yoyote usalama dunia

    Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia. Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
  2. Je huu ni mwanzo wa vita vya tatu vya dunia ? Matumizi ya silaha za nyuklia kuna siku zitatumika?

    Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN? Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita. Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
  3. Pakistan, India wana silaha za nyuklia kwanini Iran ikatazwe?

    Mbona dunia haina usawa? Kwanini iwe ni Iran tu na sio nchi nyingine? Kwanini Iran inapangiwa cha kufanya, kwanini sio nchi nyingine?
  4. Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  5. Embu waza viongozi ambao Africa tunapata wangekuwa na silaha za nyuklia, ingekuwaje?

    Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia. Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
  6. Marekani iliishambulia Iran kuharibu vinu vya nyuklia, je wajua kwanini kamwe hawezi kuishambulia Korra Kaskazini licha ya kuwa na silaha za nyuklia?

    Marekani haishambulii Korea Kaskazini kwa sababu kuu kadhaa, zikiwemo: 1. Tishio la silaha za nyuklia - Korea Kaskazini ina silaha za nyuklia na imekuwa ikitishia kutumia dhidi ya Marekani na washirika wake (kama Korea Kusini na Japan) ikishambuliwa. 2. Hatari kwa Korea Kusini - Mji wa Seoul...
  7. Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

    Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo? NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
  8. Unafiki wa Mataifa Makubwa Kuhusu Silaha za Nyuklia

    Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu” yakijihusisha katika kampeni za unafiki na uharibifu wa wazi. Hapa nazungumzia hasa Marekani na...
  9. Iran: Hatuna Chaguo ila Kutumia Silaha za Nyuklia

    Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
  10. U

    Trump aionya Iran itarajie mambo mabaya kuipata isipokubali mazungumzo kusitisha mpango wake kutengeneza silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached 14 hours ago Share US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025. US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
  11. U

    Jeshi la Israel Iajiandaa kushambulia mitambo ya kuzalisha silaha za nyuklia ya Iran, ni fursa muhimu kufuatia kuangushwa utawala wa Asad wa Syria

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Usiku mwema inshallah IAF continues preparations for potential strikes in Iran IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
  12. Putin atia saini agizo la kuruhusu vigezo zaidi vya matumizi ya silaha za nyuklia

    Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha ======================================================== Russian...
  13. U

    Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

    Wadau hamjamboni nyote? Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
  14. K

    Iran yasemekana kufanya jaribio la Makombora ya Nyuklia chini ya ardhi Jumatatu 7/10/2024

    Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka. Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na...
  15. Musiogope, silaha za nyuklia hazitatumika kwenye vita zinazoendelea sasa

    Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear. Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi...
  16. Kila nchi kumiliki silaha za nyuklia ndio kutazuia uvamizi na vita na kuleta heshima

    Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
  17. I

    Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  18. I

    Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  19. T

    Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  20. Putin akubaliana na Lukashenko kupeleka silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus. Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…