Watu wengi hupendelea kurudi makwao, hasa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Wengi hurudi vijijini ambapo ndipo chimbuko lao lilipoanzia, ili kusherehekea kwa pamoja; wapo wanaochinja mbuzi, ng'ombe n.k ili mradi kunogesha furaha ya kuwa pamoja na kujiandaa kukaribisha mwaka mwingine...