siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

    Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu. Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini, Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent, Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya...
  2. JamiiForums Tanzania DC Nachingwea agawa Sukari, Maziwa na Unga kwa ajili ya Siku ya Afya na Lishe

    Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha tathimini ya mkataba wa Lishe robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mahitaji hayo ni sukari...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa unatumia muda mrefu kwenye kioo kujipamba kuliko maandalizi ya kiroho siku ya ibada jua hakuna ibada bapo!

    Salaam,Shalom!! Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali.... Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani. Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani. Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

    Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Siku saba za moto, mwenezi CPA Makalla aunguruma Kigamboni uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍 Kigamboni Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Vipi harakati za siku ya kwanza ya kampeni maeneo ulipo?

    Aisee yani ni watu wanajibizana na boda boda duuh Yani vruuuuuuuu.... Tangia asubuhi!!!!!!
  9. JamiiForums Tanzania Aliyekuja na idea ku-design upya logo ya gari brand ya Jaguar atakuwa alikuwa arosto siku hiyo

    Zamani: Mpya:
  10. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Siku 7 za Kubeba Kila Kitu

    UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU 📍20 Novemba, 2024 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampenzi za Uchaguzi wa Serikali za...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Baada ya CHADEMA kukomaa kuwa itashiriki uchaguzi na haitajitoa, plan B haiwezi kuja kuwa ni kuifuta kabisa kwenye daftri la Msajili siku za mbelen?

    Kwakuwa Watanzania tumeshindwa kupambana dhidi ya kila uovu unaofanywa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA na sasa kwenye kuhujumu wagombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu(Nov. 17, 2024); je, haiwezekani ipo siku wahusika wataenda mbali na hata kufikia hatua ya...
  12. JamiiForums Tanzania Siku ya Watoto Duniani (Novemba 20): Unajivunia kitu gani kuhusu Mtoto wako?

    Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1954 ili kukuza ustawi wa watoto duniani kote na kuongeza uelewa kuhusu haki zao. Pia ni kumbukumbu ya kupitishwa kwa Mkataba wa Haki za Mtoto (Convention on the Rights of the Child) mnamo 1989. Ni fursa nzuri ya: Kujifunza kuhusu haki za watoto...
  13. JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  14. JamiiForums Tanzania Leo ni Sikukuu ya Wanaume Duniani ila hakuna meseji wala status za kuwapongeza. Subiria ifike siku yao!

    Nov 19 ni siku yetu tena, Duniani. Ila hauoni majigambo mitandaoni wala meseji za heri ya siku ya wanaume Duniani wala kupongezwa kwa mchango wetu katika Taifa. Ila ikifika March 8, utashangazwa.
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini magolikipa siku hizii hawavai track wakiwa mchezoni kama zamani?

    Naombeni majibu
  16. JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Wanaume Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia. Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na: 1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

    Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
  18. JamiiForums Tanzania Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  20. W

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto Njiti Duniani

    Kila Novemba 17, Siku ya Mtoto Njiti huadhimishwa Duniani ili kuongeza uelewa na kupaza sauti kuhusu changamoto zinazohusiana na suala hilo Mtoto njiti huzaliwa kabla ya wiki 37 za Ujauzito kukamilika Mtoto mmoja kati ya kila Watoto 10 huzaliwa Njiti na kila mtoto anayezaliwa chini ya uzito wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…