siasa zetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu

    Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa kwenda jela.
  2. Binti wa zamani

    Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

    Nimewaza: Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri? Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria. Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
  3. Dr Adam Francis

    A man of the people; sura halisi ya siasa zetu

    The man of the people ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Iliandikwa na Chinua Achebe mwaka 1966 kujadili siasa, rushwa na ubinafsi wa viongozi wa kiafrika baada ya uhuru. Nachelea kusema, kama hukuisoma riwaya hii bado huzijui...
  4. J

    Tangu Siku za Yohana Mbatizaji Ufalme wa mbinguni hupatikana kwa Nguvu Nao Wenye Nguvu Huuteka Mathayo 11:12. Ndipo Tulipofika na Siasa zetu!

    Kama huna nguvu hutafika popote wala hutateka chochote Yohanne anaelezea nguvu za Kiimani lakini katika Siasa zetu wenye nguvu za kiuchumi ndio huuteka Ufalme Ufalme siyo Kuongoza bali kuenjoy matunda ya Wanaoongoza Kwa mfano Chaumma anayeongoza ni Hashim Rungwe lakini wanaoburudika kwa...
  5. DR HAYA LAND

    Ukiwa haujui utaratibu wa watanzania ndo unaweza kushangaa ambacho kinaendelea sasa hivi katika siasa zetu

    Sisi watanzania huwa tuna utaratibu wetu wa miaka mingi unaitwa "bora tukose wote" Kwahiyo msishangae Sana hii hali kutokea. Faida zake ni chanya na hasi .
  6. figganigga

    JWTZ wasiingilie Siasa zetu. Ni kweli, Nchi inawayawaya kama machela

    JWTZ wasitupangie wananchi cha kufanya kihusu Siasa. Wakitaka kutupangia wanajua cha kufanya kabla ya kutupangia, vinginevyo ni kutuonea na kutupa sonono. Majukumu ya Msingi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni; Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ulinzi wa...
  7. Alloyce PR

    Kichekesho cha kisiasa chenye machozi ya baadaye

    "Mwananchi mjinga anasema hafuatilii Bunge kwa kuwa halisemi anayoyapenda, kama vile Bunge ni tamthilia ya mapenzi! Hajui kuwa kwenye hayo anayoyachukia, ndipo wanapopika mchuzi wa kodi yake, bei ya unga, na hata umri wake wa kustaafu!" — Alloyce, P.R.
  8. Benson Mramba

    Yanayoendelea Zambia juu ya mazishi ya Rais Mstaafu Edgar C Lungu yatufundishe kwenye siasa zetu

    Mpaka leo Mwili Rais Mstaafu Edgar Lungu haujazikwa kisa ni mgogoro kati ya familia ya Rais Mstaafu Lungu na serikali ya Rais Haikainde Hichelema. Familia inasema marehemu Rais mstaafu aliacha wosia kuwa siku akifa Rais wa sasa asisogelee jeneza lake.Siku za maombolezo zimeisha bado utata upo...
  9. DELETED ACCOUNT

    Sikiliza maoni ya huyu mwamba kuhusu derby ya kariakoo na siasa zetu halafu utoe maoni yako

    Unajua watanzania pamoja na kupenda kwetu hizi timu za kurithi, tuamue nini hasa ni muhimu kwa taifa hili na katika maisha yetu. Embu msikilize huyu mwamba anachosema kuhusiana na derby ya Kariakoo. Inakuwaje hadi bungeni eti wanajibizana kuhusu mpira tena katika misingi ya kishabiki, yaani...
  10. Mzee Mwanakijiji

    Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

    Na. M. M. Mwanakijiji Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya...
  11. Alloyce PR

    Msingi wa Ilani

    "Maamuzi ya kisiasa na ahadi za vyama vya siasa lazima yajengwe juu ya uhalisia wa maisha ya wananchi, unaoonyeshwa kupitia tafiti na takwimu, ili sera zitakazopendekezwa ziwe za kutekelezeka, zenye tija na zinazogusa uhalisia wa changamoto." Alloyce, P.R.
Back
Top Bottom