siasa za tanzania

Siasa za Tanzania
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. J

    Nikiwakumbuka akina John Guninita, Sukwa Saidi Sukwa, James Mbatia nashindwa Kabisa kuwalinganisha na Vijana wa sasa

    Kiukweli Siasa za Tanzania zinazidi kufubaa hasa kwa vijana wetu kama utalinganisha na enzi za akina Guninita Sijui kwanini Vijana wetu wa Leo hawana Uwezo Kabisa wa Kujenga hoja zaidi ya kuropoka ropoka tu Yaani Leo Lucas na Mchungaji Msigwa ndio tegemeo la CCM, Pambalu na Boni Yai ndio...
  2. PreGE2025 BAWACHA: Usaliti wa Mch. Msigwa ni kukosa fadhila kwa CHADEMA, Tulimuokota akiuza Mitumba Iringa

    Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) limetoa tamko la kukerwa na matendo ya Mchungaji Peter Msigwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia chama hicho kabla ya kuhamia CCM. BAWACHA wanasema kuwa Msigwa amekuwa akiwakandamiza viongozi wa CHADEMA katika majukwaa mbalimbali ya kisiasa...
  3. Tanzania na Finland zasaini Hati ya Makubaliano kuendesha mashauriano ya Kisiasa

    Tanzania na Finland zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) kuhusu kufanya rasmi Mashauriano ya Kisiasa kati ya nchi hizo mbili. Uwekaji saini huo ulifanyika leo tarehe 09 Oktoba, 2024 jijini Helsinki na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kwa niaba...
  4. Hakuna biashara inayolipa sana zaidi Tanzania kama "siasa"

    Tanzania watu wapo tayali wakutoa uhai kama inatokea unakuwa kikwazo kwao lakini pia viongozi wengi wanasiasa huwa wanakuwa matajili wakubwa ndani ya mda mfupi sana. Ndiyo maana wateule wote wa RAIS huwa wanafanya sherehe baada ya kuteuliwa. Maana yake ukiwa kiongozi Tanzania wewe ni Tajili...
  5. John Mnyika afunguka Ugumu wa Maisha kwa Wananchi na kukua kwa deni la Taifa

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
  6. PreGE2025 LGE2024 CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

    Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa AZAKI hizo kutembelea vyama vya siasa kwa lengo la...
  7. PreGE2025 Wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi ni chachu ya wengine kufuata nyayo

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
  8. PreGE2025 LGE2024 Watanzania wezangu tusilambishwe sukari na wanasiasa, bali tuzipime hoja zao kama kweli zitaleta chachu ya maendeleo

    Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025. Katika kipindi hiki wanasiasa wameshaanda sukari zao za hoja kuja kudanganya au kusema ukweli wakati...
  9. M

    Juma Usonge asambaza vyakula kwa wanafunzi wa kambi watahiniwa wa kidato cha pili Jimbo la Chaani

    Mbunge wa jimbo la Chaani Mhe, Juma Usonge ameendelea na utoaji wa vyakula kwa wanafunzi wa watahiniwa wa kidato cha pili skuli za Sekondari Jimbo la Chaani wilaya ya kaskazin A Unguja. Usonge amesema ikiwa yeye ni kiongozi wa jimbo hilo na mdau mkubwa wa elimu amesema utoaji wa sadaka iyo...
  10. Tunajenga nyumba moja, Tusigombanie Fito

    Kinachoendelea nchini kwa wiki kadhaa saaa ni baada ya baadhi ya watu kudaiwa kutekwa , kutoonekana mahali waliko huku mtu mjumbe wa sekreteriet ya CHADEMA kukutwa amauawa . Watu kutekwa,kuteswa,kujeruhiwa si kitu ambacho kimo katika nasabu za utamaduni wa Taifa la Tanzania. Hata hivyo...
  11. PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  12. PreGE2025 Mzazi/Mlezi, Ungependa Binti yako awe Mwanasiasa?

    “Wazazi na walezi, je, mnaona umuhimu wa mabinti wenu kujihusisha na siasa? Je, mko tayari kuwaunga mkono katika safari hiyo ya uongozi na mabadiliko? Tushirikiane mawazo!
  13. PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  14. Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  15. PreGE2025 Dotto Biteko: Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kuepuka vitendo vya kuwagawa, na badala yake waungane kwa lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Biteko ametoa wito huo wakati akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Kibondo, mkoani Kigoma, akisisitiza...
  16. F

    Picha hii inatoa unabii wa siku zijazo za uongozi wa Tanzania ikionesha ni wapi watakapokuwa viongozi wakuu wa CHADEMA wakilinganishwa na wale wa CCM

    Hii picha ina takribani miaka 10 hivi na ni picha ya kinabii. Inaongea kimya kimya ni wapi viongozi wakuu wa CCM; Samia na Nchimbi watakapokuwa wakilinganishwa na viongozi wakuu wa CHADEMA Mbowe na Lissu.
  17. K

    Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi

    Maandiko yatuongoze Kuna nyakati tunao wasifu hawana msaada na sisi. Ni Bora kutumia muda wetu kusoma na kuelewa mifumo ya chama ili tuwe na uwezo wa kusema na kuhoji. Tusiposoma tukasifu sifu tu tutaendelea kuumia huku wenzetu wakila Bata na kuandaa maisha ya vizazi vyao vya kesho kwa kutumia...
  18. Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
  19. Hawa watu watu wakija kukutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana

    Wakikutana watagombana sana maana kila mmoja ana mitazamo inayotofautiana sana. 1. Hamfrey Polepole wa katiba mpya na Hamfrey Polepole wa Magufuli. 2. Peter Msigwa wa CCM na Peter Msigwa wa CHADEMA. 3. Wilbrod Slaa wa Rais Magufuli na Wilbrod Slaa wa Rais Samia 4. Juma Nkamia wa kipindi cha...
  20. Morogoro: Mtendaji wa Kijiji akiwasha, ataka kuzuia mkutano wa ACT Wazalendo kwa madai hakuwa na barua kutoka OCD

    Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…