Chama cha Wanasheria nchini Kenya (LSK) kimemkosoa vikali Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, kwa kutoa kauli inayopingana na uamuzi wa Mahakama Kuu uliopiga marufuku polisi kuficha utambulisho wao wakati wa maandamano.
Kauli hiyo ya Murkomen imetolewa Septemba 16, 2025, katika...
Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni?
Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha huduma za wananchi na maisha yao na kusimama kinyume na mifumo uliyokuwepo ambayo ilikuwa inawanufaisha...
Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya.
Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya...
Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu:
---
1. Mfumo wa Vyama vya Siasa
Kenya: Ina mfumo wa vyama...
Inawezekana kukawa na chaguzi ndogo maana wabunge wa sasa wanaweza kujiuzulu especially in Mount Kenya area kwa kujiunga na Gachagua na hivyo kuwepo na ulazima wa chaguzi ndogo.
My take:
1. Ukabila, maana anatokea Mt. Kenya na inaonekana wanamuunga mkono mwenzao...Ukabila ..ethinicity
2...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano, aliyekuwa makamu wa Raiswa Kenya, Rigathi Gachagua amesema kuwa alishapewa Ksh Bilioni 2 na Rais Ruto ili ajiuzulu nafasi yake ya Umakamu.
"Ruto aliniomba nijiuzulu, na kuniahidi KSh2 bilioni. Aliniahidi na ulinzi wa kutosha na marupurupu...
Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Kenya imeagiza mitandao yote ya kijamii nchi Kenya kuanzisha ofisi nchini humo.
Wizara hiyo imedokeza kuwa ina lengo la kuhakikisha maudhui yanayosambazwa na kampuni hizo sio mabaya.
"Kuongezeka kwa matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, ikiwemo unyanyasaji...
Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv.
Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya.
Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
bunge
bunge la tanzania
ccm
hata
hii
kanda
kanda ya ziwa
kenya
miaka
miaka 100
mkubwa
mkuu
mkuu wa wilaya
mtaji
sana
siasasiasazakenya
tanzania
tatizo
umasikini
wilaya
ziwa
Pole Rigathi Gachagua, Former Deputy President.
=====
Hii ni baada ya seneti kupiga kura kupitisha mashtaka 5 kati ya 11 misingi yake ya kuondolewa kwake madarakani.
Spika Amason Kingi: Seneti imeamua kumng'oa madarakani kwa hati ya mashtaka, Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hivyo basi, anakoma...
Demokrasia itawachelewesha sana Kenya, hawana uchumi unaohimili demokrasia ya mangaribi. Wanataka kumuondoa MAKAMU wao wa RAIS kihuni TU.
Kuna wezi wengi sana Kenya wanakula mali ya umma bila kuchukuliwa hatua kali kama hizi, why Gashagua?
Rais Ruto aliwaahidi wapiga kura wake kuwa hakutakuwa...
Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia!
Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo.
Soma Pia:
Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
Wasalaam
Wakati majuzi Kenya imetoka kupoa kutoka maandamano ya Gen Z. Kabla hawajakaa sawa leo wapo kwenye moto mwingine wa Kumfukuza kazi DP Makamu wa raisi wa Kenya kwa Tuhuma mbalimbali ikiwemo ukabila. Na kufinance Maandamano ya Gen Zee.
Kwa mujibu wa sheria za Kenya ukishakuwa impeached...
Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano.
Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari.
Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
Siasa za Kenya kuna wakati zina shangaza sana sasa sijui ni kusalitiana au vipi?
Bunge la Kenya linataka kumkong'oa Naibu wa Rais wa Kenya Rigadhi Gachagua.
Naibu Rais huyo wa Kenya anakabiliwa na tuhuma za kuendeleza ukabila kwa watu wa mlima Kenya pia kutokuelewana na Raisi William Ruto...
Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini, kusitisha nyongeza ya mishahara kwa Watumishi wa Umma na kupunguza safari za nje, posho, marupurupu...
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi chochote kuhusu mambo ya siasa na mustakabali wa nchi yao.
Ukimuuliza kijana wa miaka 20s juu ya...
Washirika wake wa chama chake cha UDA na Muungano wa KENYA KWANZA maseneta, wabunge na magavanor bado wanamuona ni mtu pekee na muhimu zaidi katika kuwaunganisha wa Kenya na kuwaletea maendeleo endelevu katika maeneo yao. Wana Imani nae sana licha ya vijana kutaka ang'atuke mamlakani.
Sambamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.