siasa tanzania

Jason K. Stearns (born October 31, 1976) is an American writer who worked for ten years in the Congo, including three years during the Second Congo War. He first traveled to the Congo in 2001 to work for a local human rights organization, Héritiers de la Justice, in Bukavu. He went on to work for the United Nations peacekeeping mission (MONUC). In 2008 Stearns was named by the UN Secretary General to lead a special UN investigation into the violence in the country.
Stearns is the author of the book, Dancing in the Glory of Monsters: The Collapse of the Congo and the Great War of Africa, and the blog, Congo Siasa. He received a Ph.D. in political science from Yale University on May 24, 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema aomba radhi kwa kauli aliyotoa dhidi ya mke wa Nape lakini ashikilia msimamo wake juu ya kauli ya Nape

    Ameandika Lema katika mtandao wa X: "Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika chaguzi zinazokuja, nilijikuta natoa mfano mkali ambao umemgusa bila shaka Shemeji yangu mpendwa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box. Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wapinga kauli ya Nape Nnauye kuhusu imani yake kwenye ushindi wa chaguzi nchini, wasema CCM haihitaji mbeleko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo viongozi wala vyombo vya dola bali mamlaka makubwa aliyonayo Rais, mwishowe wanafanya kazi kulinda ugali wao!

    Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa. Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa nchi hasa kwenye teuzi na mambo mengine ndiyo maana anapoona unaenda kinyume naye utaishia...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

    Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe! Kauli ya January...
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tumechanga kiasi gani kwaajili ya gari ya Tundu Lissu? Mbona kimya kingi?

    Wakuu, Mwananchi wa kawaida kutoka fyengelezya niliyejitolea kuchanga kiasi kidogo cha pesa ili kufanikisha kununuliwa gari jipya aina ya V8 la kutembelea mheshimiwa Tundu Lissu kwa gharama ya Tsh 300m nina haya ya kuuliza; ° Mpaka sasa imekusanywa kiasi gani? ° Kwanini hatupewi taarifa ya...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

    Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini. Ni swala...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Nini sababu ya Ushiriki mdogo wa Vijana katika Uchaguzi Tanzania?

    Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala Je, huwa unashiriki katika Michakato hiyo? Kama haushiriki ni kwasababu gani? Kwa maoni zaidi, shiriki katika...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini CCM mnafanya kampeni wazi wazi wakati muda wa kampeni bado? Msajili wa Vyama vya Siasa hulioni hili?

    Wakuu salaam, Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge. Lakini pia baada ya mbunge kuchaguliwa, wewe unakuwa mbunge wa wananchi wote, kama unahutubia wananchi inamaanisha...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekuwa likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika siku za hivi karibuni huku likiacha taharuki kwa wananchi huku pia suala la kuteswa likitajwa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Zitto ni Msemaji wa Ikulu?

    Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema yazidi kuifungua Tanga, huu hapa ni Mkutano wa Mwakijembe

    Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga. Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii Mikutano ambayo inahutubiwa na Mbowe wanairatibu Wanatanga wenyewe na wanaandaa kila kitu! Huu ni Mkutano...
  14. Crimea

    JamiiForums Tanzania Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

    Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu! Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo. Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu! Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  17. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Udikteta wa Mbowe watajwa chama kutoimarika

    Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA. Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono. Pia soma: Aliyekuwa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  19. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Mpina analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CCM lakini hajahama wakati Msigwa analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CHADEMA na akahama!

    Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana. Nini kifanyike? Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Kila siku msaidie Rais wako. Rais ni nchi. Rais ni wananchi. Ukimsaidia Rais umesaidia nchi. Umewasaidia...
  20. Wafuasi wa Rais

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa nchini Tanzania ambaye kamwe hawezi kuhama chama chake ni Rais pekee

    Kila siku kumbuka kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Rais hawezi kukusaliti. Rais ni nchi. Nchi ni Rais. Urais ndio cheo cha juu cha kisiasa kote Duniani. Hakuna zaidi ya hapo. Chama cha Rais ni nchi yake. Hawezi kuisaliti. Mwanasiasa yeyote anaweza kuisaliti itikadi ya chama chake cha siasa na...
Back
Top Bottom