shule

  1. JamiiForums Tanzania Wengi wanaodhani wana elimu kisa walienda shule watakuja kuchelewa wakigundua hawajawahi kuwa na elimu kwa Mujibu wa mdau Einstain

    Elimu ni nini? ''Elimu ni Kile Kinachobaki baada ya kuwa umesahau vyote ulivyojifunza darasani''. Albert Einstein Kama una degree na unalima matikiti mwaka wa saba sasa, unapaswa kunyang'anywa cheti upewe cheti cha matikiti angalau. Sasa jifikirie, anza kufikiri unakumbuka nini katika yale...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiota uko shule ya msingi

    Watu wengi wamekua wakiota wako shule za msingi walizosomaga na wako hawajui maana yake Tafsiri yake ni kwamba ukiota uko shule ya msingi maana yake kuna HBO unataka kufanya halina msingi mzuri Mfano kuna MTU anataka kuoa ghafla usiku anaota yuko shule ya msingi, anajaribu kuambiwa msingi wako...
  3. JamiiForums Tanzania Umefika wakati Watanzania turudishwe shule kusoma kutofautisha baina ya herufi "R" na "L"

    Utamwamini vipi mtu akupakie rangi nyumbani kwako wakati hawezi tofautisha baina ya herufi L na R Kwa AJIRI = kwa AJILI
  4. JamiiForums Tanzania Mjue school mate wako comment shule uliyosoma Primary na Secondary

    Primary : Nguzo Primary (Morogoro) secondary : St Francis de Sales (Morogoro) , Bishop Durning (Arusha) Nasubiri nimuone School mate mwenzangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…