Umefika wakati Watanzania turudishwe shule kusoma kutofautisha baina ya herufi "R" na "L"

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
5,129
Points
2,000

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
5,129 2,000
Utamwamini vipi mtu akupakie rangi nyumbani kwako wakati hawezi tofautisha baina ya herufi L na R

Kwa AJIRI = kwa AJILI

IMG_20191029_150655.jpg
 

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Messages
1,024
Points
2,000

Emery Paper

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2019
1,024 2,000
Inafika mahali inabidi tuendane tu hii kasi, vinginevyo hamna kitachofanyika katika haya maisha. Kama ukisema hata wanawake wa kudate nao uwachuje kwa vigezo vya "R" na "L" unaweza jikuta unapata vyeo from junior bachelor to Senior bachelor.
 

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
5,129
Points
2,000

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
5,129 2,000
Mleta uzi ni mshamba, sio Tanzania pekee, je amewahi kusikia English ya India?
Hawastahili kuaminiwa kama madaktari?
Wahindi Kingereza sio lugha yao huwezi kuwalaumu

Kiswahili nu lugha yetu ya Taifa, wageni Wazungumzie kiswahili wanaitazama Tanzania kama ndio chanzo cha hii lugha

Sasa sijui watatuona vipi kama lugha yetu wenyewe hatuwezi kutafautisha baina ya R na L..
 

Forum statistics

Threads 1,357,591
Members 519,057
Posts 33,151,041
Top