shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe anapata faida au ni miyeyusho Tu?

    Hivi jamani bodaboda anaye miliki pikipiki yake mwenyewe Inaweza ikawa inamlipa au ni miyeyusho Tu ? Nifikirie kitu kingine cha kufanya .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  3. JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiandae sana kisaikolojia kwa lolote mkeo akianza kujihusisha na shughuli za siasa

    Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi. Akifikia hatua ya kutaka teuzi za viti maalum funga siku 40 bila kula wala kunywa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge

    Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.📍Songambele (Nsimbo)-Katavi🗓️Machi 15, 2026

    Afya ni Mtaji wa kwanza katika shughuli za maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Songambele (Nsimbo)-Katavi 🗓️Machi 15, 2026 ———————————— Amesema hayo alipozungumza na wananchi wa kata ya Songambele, Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwenye mkutano wa hadhara.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  9. JamiiForums Tanzania Karibu HD Events kwa shughuli yako.

    Una HARUSI, SEND-OFF, GRADUATION, KOMUNIO, KIPAIMARA, VIKAO, MICHANGO? Wasiliana nasi tukupatie kadi nzuri ya kidigitali itakayokuwa rahisi kusambaza kwa wageni wako wote na ya kipekee sana! Kwanini ununue kadi zetu? Timu yetu inafika ukumbini kwako ku-scan kadi. Tutatuma SMS za ukumbusho bure...
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  11. JamiiForums Tanzania TPRB yawaonya wanaofanya shughuli za mipangomiji bila kuzingatia sheria

    Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imewataka wananchi, wadau na wataalam wa mipangomiji nchini kuhakikisha kuwa utekelezaji wa shughuli zote za mipangomiji unazingatia kikamilifu sheria, kanuni na miongozo. Agizo hilo limetolewa na Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wataalam wa...
  12. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Shughuli za Upigaji kura zachelewa Uganda

    Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo...
  13. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiliba: Shughuli za kiharakati lazima zisisitize amani na upendo siyo kueneza hofu na chuki kwa wanajamii

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi na Taasisi za Elimu, Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 akielezea shughuli za kiharakati zinazoendelea mitandaoni amesema shughuli za uharakati lazima isimamie misingi ya kudumisha amani, upendo na kuunganisha taifa na siyo...
  15. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
  16. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Mbagala mapema leo, shughuli zarejea

    https://youtu.be/-ZUtT726xT0
  17. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Shughuli za kawaida zarejea Dar es Salaam

    Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu. Idadi ya watu sio kubwa sana kama siku zingine. Wafanyabiashara kadhaa wanaonekana kuja kazini kwa kuchelewa Idadi inaendelea...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani yatawala Singida licha ya tishio la maandamano

    Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama zikiimarishwa katika maeneo yote muhimu. Hata hivyo, uchunguzi uliofanyika mapema leo katika mitaa ya mji...
  19. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Majukumu ya Msingi ya JWTZ: Tathmini za Shughuli Wanazozifanya Sasa Mitaani

    Majukumu haya ya msingi ya JWTZ (Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu na usalama wa raia. Lakini, ni vyema tujitahidi kutafakari kwa undani kuhusu utekelezaji wake katika mazingira ya sasa. Hebu tuangalie kila kipengele kimoja kimoja: 1. Kulinda...
  20. JamiiForums Tanzania onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…