shoga

Beni shōga (紅生姜) is a type of tsukemono (Japanese pickle). It is made from thin strips of ginger pickled in umezu (梅酢), the vinegary pickling solution used to make umeboshi. The red color is traditionally derived from red perilla (Perilla frutescens var. crispa). Commercial beni shōga often derives its hue from artificial coloring, to a garish effect. It is served with many Japanese dishes, including gyūdon, okonomiyaki, and yakisoba.

View More On Wikipedia.org
  1. Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Wazazi tuombeana sana. Na tuwaombee sana watoto wetu, vijana wetu kuna walakini mkubwa sana kwenye ile kampeni ya wakataa ndoa. Tuwe karibu mno na vijana wetu wa jinsia zote wakike na wakiume. Wote wanaharibika. Wote wanaharibikiwa jamii inaingia kwenye mtanziko mkubwa. Kizazi kijacho kiko...
  2. Kwa miaka yetu ilikuwa ngumu sana kuwa shoga. Unaanzaje kwa mazingira yale?

    Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila...
  3. Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  4. Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  5. Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

    Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga. Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa kuibuka kua yeye hua ni mhuzuriaji mzuri kwenye bar za mashoga nyakati za usiku na pia amegundulika...
  6. Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa, Bibi Harusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…