Shirika la Reli Tanzania (TRC), linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita Tabora–Kigoma, ambapo Julai 15, 2026 Wananchi wa Kijiji cha Nyamori kata ya ya Simbo Halmashauri ya Kigoma, wameanza kupokea stahiki zao.
Jumla ya...
Watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), hususan wanaofanya kazi katika mradi wa SGR, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya kutolipwa madai yao kwa muda mrefu, kuanzia kipindi cha ujenzi hadi hatua ya uendeshaji wa reli.
Watumishi wengi hutumwa kufanya kazi nje ya vituo vyao, lakini...
Anonymous
Thread
muda mrefu
shirikalarelishirikalarelitanzania
watumishi
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa, picha mjongeo (video) inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai Kichwa cha treni ya SGR kikiwa kinatoa mlio usio wa kawaida siyo ya kweli ni uzushi.
Baada ya kufuatilia kwa makini, Shirika linathibitisha kuwa treni zote za SGR...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR).
Kwa muda wa zaidi ya miezi minne sasa, bado hatujarejeshewa fedha zetu. Kila tunapowasiliana na huduma kwa...
Anonymous
Thread
kurejesha
malalamiko
muda mrefu
reli ya kisasa
shirikalarelishirikalarelitanzania
tiketi
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linawaarifu wananchi na abiria wote kuwa, kumekuwepo na vitambulisho mbalimbali vilivyoachwa katika treni na stesheni za SGR na MGR kutokana na sababu tofauti wakati wa safari.
Vitambulisho hivyo ni pamoja na: kitambulisho cha taifa (NIDA), leseni za udereva...
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC), imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Mtwara-Mbambabay pamoja na matawi yake ya Liganga na Mchuchuma yenye jumla ya urefu wa kilometa 1,000.
Taarifa hiyo...
Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri.
Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa.
Kwa mara zote...
Shirika la Reli Tanzania @tzrailways limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi wa ujenzi wa vipande mpaka Mwanza na pia Tabora mpaka Kigoma kwa maana ya Uvinza...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025.
Hata hivyo licha ya changamoto hiyo ya upatikanaji wa tiketi za SGR kwa njia ya mtandao, tiketi ziliendelea kutolewa kwenye...
Wazee wetu waliolitumikia shirika la reli Tanzania kwa jasho na damu asilimia kubwa kwa sasa wamepoteza maisha na wengine wako hoi vitandani na ama wako hoi kimaisha! Serikali kupitia shirika la reli TRC wanatangaza mafanikio ya SGR na kununua vichwa vipya vya train za kisasa na kujenga reli...
😂😂😂😂 hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh!
Soma: Shirika la Reli Tanzania (TRC) laomba radhi kutokana na kuchelewa kwa safari kulikosababishwa na changamoto zilizo nje ya uwezo wao
Treni ya Mwendokasi inayofanya safari zake Dar es salaam - Dodoma, ilisimama kwa saa kadhaa maeneo ya Ngerengere usiku wa kuamkia leo September 10,2024 na baadhi abiria wakajirekodi video wakionesha kuwa wamesimama katika eneo hilo.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kwa abiria...
TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...
Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT.
Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha heshima ya nchi iliyokuwa imepotea kwa muda mrefu mmejitahidi sana.
Miakaka ya nyuma hatukuwa na...
🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC)
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR) cha Dar es salaam na kupokelewa na Mkurugenzi wa shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.