shirika la afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Malaria yapata Chanjo na WHO imeithibisha, utafiti ulianza mwaka 1980

    Uingereza imefanikiwa kutengeneza chanjo ya Malaria ugonjwa unaosumbua sana Afrika. Majaribio ya Chanjo hii yalifanyika katika nchi tatu za Ghana, Kenya na Malawi ambapo watoto zaidi ya 800,000 wamechanjwa. Chanjo hii imelengwa maalumu kwa ajili ya Afrika hivyo nchi zote barani humo zitapatiwa...
  2. beth

    WHO: Vifo milioni 7 vyatokana na uchafuzi wa hewa

    Shirika la Afya Duniani, WHO leo limeimarisha miongozo yake ya ubora wa hewa, likisema uchafuzi wa hewa kwa sasa ni moja ya kitisho kikubwa cha kimazingira kwa afya ya mwanadamu. Shirika hilo limesema uchafuzi wa hewa unasababisha vifo milioni saba kwa mwaka na kwamba hatua za haraka zinapaswa...
  3. beth

    WHO: Maambukizi na vifo vya Corona vyapungua

    Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita. WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na chini ya vifo 60,000 vimeripotiwa kati ya Septemba 13 na 19. Kupungua kwa kiasi kikubwa cha visa...
  4. beth

    Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  5. beth

    Afghanistan: Shirika la Afya lakabiliwa na upungufu wa vifaa kutokana na vizuizi

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
  6. beth

    Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latahadharisha mataifa yanayolegeza masharti ya kukabiliana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali. Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
  7. beth

    Shirika la Afya (WHO): Kasi ya usambaaji wa Virusi vya Corona ni kubwa kuliko ya ugawaji Chanjo

    Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni mkubwa. WHO imesema zaidi ya 10,000 wanapoteza maisha kila siku na Jamii hizo zinahitaji Chanjo hivi...
  8. beth

    WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
Back
Top Bottom