shinyanga

Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
  2. Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru. Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago. Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.
  3. Shinyanga: Wafanyabiashara 6 wakamatwa kwa kuuza Sukari kinyume na Bei elekezi

    JESHI la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia wafanyabiashara sita wa sukari kwa tuhuma za kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya serikali. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, katika kikao alichofanya na wafanyabiashara wa sukari mkoani humo kilichokuwa na...
  4. Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

    Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu. Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya...
  5. M

    Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  6. Watu 18 wakutwa na kipindupindu Shinyanga

    MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amesema watu 18 kati ya 41 ambao walikabiliwa na tatizo la kuhara na kutapika, wamebainika kuwa na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo. Desemba 28 mwaka Jana, Mkoa wa Shinyanga katika Kata ya Kagongwa wilayani Kahama, kulitokea vifo vya watu watano...
  7. KERO Shinyanga MC

    Mamlaka inayo husika na isimamizi wa barabara za ndani ya mji Shinyanga mtu saidie kuweka matuta katika izi barabara ili kuzuia mwendo kasi wa baadhi ya madereva wa vyombo vya moto hususani bodaboda na magari . Kuna hii barabara ya Nkulila road yaan unakuta cruiser ya DFP, STM, STK...
  8. Manispaa ya Shinyanga, Kero ya bodaboda kutoa excos kusababisha makelele hamuioni?

    Najiuliza Jeshi la Polisi usalama barabaran kama wapo macho kweli? Ukifika Shinyanga mjini bodaboda nyingi zimetobolewa excos kitendo ambacho hupelekea kelele kwa wananchi wanaoishi pembezoni ya barabara mfano, Nkulila road. Kero nyingine, zipo baadhi ya izi pikipiki guta zimefunga honi zile...
  9. Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

    Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Ajali imetokea jana, amefariki leo. Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana. Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi. Hii ni...
  10. Underground Shaft Engineer at Bulyanhulu Gold Mine October, 2023

    Position: Underground Shaft Engineer Job Identification: 226944 Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania Position Description Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit an Underground Shaft Engineer to join and grow our team. Join our exceptional team and embody Barrick's core...
  11. Civil Engineer at Bulyanhulu Gold Mine October, 2023

    Position: Civil Engineer Job Identification: 226946 Job Category: Capital Projects Job Schedule: Full time Location: Kahama, Shinyanga, P.O. Box 891, Tanzania Position Description Bulyanhulu Gold Mine is seeking to recruit a Civil Engineer to join and grow our team. Join our exceptional team...
  12. Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. Msaada: Binti kapotea Shinyanga, anatafutwa

  14. Kelele za pikipiki mjini Shinyanga imekuwa kero

    Habari wadau Ni tabia inayo shamiri kwa hapa Shinyanga wanao endesha bodaboda baadhi yao japo ni wengi Wamekuwa na tabia ya kutoboa exsoze za pikipiki na kupelekea vyombo ivyo kutoa sauti zinazo leta kelele , Serikali ngazi ya mkoa tabia hii imekuwa ni kero Niwaombe viongoz wetu mjaribu...
  15. Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia. Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae kwa changamoto gani barabarani pikipiki hii ninayotaka kuitumia ni mpya. na nina tegea kwenda na...
  16. Shinyanga: Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mtoto wake wa miaka 11

    Abely John Haule (37) mkazi wa Manispaa ya Shinyanga amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga baada ya kukutwa na hatia ya kutenda ‘ukatili’ huo kwa muathirika katika nyakati mbalimbali kati ya Mwaka 2022 hadi Februari 2023. Kesi hiyo ya namba 8 ya Mwaka 2023, ilikuwa na mashahidi Watano...
  17. B

    DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  18. Mbunge Lucy Mayenga awawezesha Mama lishe majiko ya gesi Mkoa wa Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Lucy Thomas Mayenga ameendelea kuwafikia Wajasiriamali Mkoani Shinyanga ambapo leo ilikuwa zamu ya Mama Lishe Manispaa ya Shinyanga kupatiwa msaada wa Majiko ya Gesi 165 yenye thamani ya Shilingi Milioni 8.2 kwa ajili ya kuwarahisishia kazi katika...
  19. O

    Watatu mbaroni mauaji ya wanandoa Shinyanga

    Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kuwashikilia watu watatu kwa mahojiano kuhusu tukio la mauaji ya wanandoa wawili yaliyotokea katika Kijiji cha Mwagimagi Wilaya ya Kahawa mkoani Shinyanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi amesema mauaji hayo yalitokea usiku wa...
  20. Trafiki Shinyanga Angalieni zile Trafific Light za Phantom Pale

    Eneo la Phantom sio geni kwa waenyeji wa Shinyanga na wanao pita highway kwenda au kutoka Mwanza. Hili eneo ni kero sana hasa wakat wa Jioni Sio ajabu ukiwa pale ukaona Gari dogo lina vuta barabara ilihali Traffic light inawaka taa NYEKUNDU kuashiria kusimama Sio Ajabu gari ukiwa pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…