shilingi

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mkaa Gunia 700 kwa shilingi 10,000 kwa kila Gunia

    Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na tozo ya TFS. Vibali vyote ninavyo. Anayehitaji aje Inbox tuongee. Njoo na Gunia zako upime mwenyewe...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ole wake atakayefuja hata senti moja katika shilingi tirioni 1.3

    Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja. Imesema fedha hizo ni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza

    Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
  4. JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  6. JamiiForums Tanzania Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Serikali tupieni macho hospitali ya Machame inatoza shilingi 6000 wanaochangia damu

    Habari ndugu zangu. Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita. Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi kwa kuuza bidhaa zenye nembo ya timu

    Jinsi timu ya Yanga inavyoweza kutengeneza mabilioni ya shilingi ndani ya msimu mmoja.
  9. JamiiForums Tanzania Tozo kuingia Menu ya Benki wanakata Shilingi 100

    Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100 Naona Mzee wa Kuhamia Burundi amedhamiria tuhame kweli. Tusubiri treni iliyopeleka Mashaki Kigoma
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu anatufanya Watanzania wote wajinga, atawezaje kutujaza wananchi shilingi trillion 5 mifukoni mwetu?

    Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
  11. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri wa Fedha wamepata sup kwenye Uchumi

    Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato. #SWALI: Je, kulikua na ulazima wowote wa kuongeza TZS 100/= kwenye bei ya mafuta katika bajeti ya mwaka huu? #Jibu ni HAPANA kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?

    Dola bilioni 400 ni sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…