shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania KERO: TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR

    TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni. Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inashindwa kulipa madeni ya ndani (extra duties, hela za overtime, malimbikizo nk) shida ni nini au Ni kujiendekeza?

    Wakuu anaejua ukweli huu anisaidie kujibia!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  4. JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Dawasa kwanini Hakuna Maji Maeneo ya Kimara, na hamtoi taarifa Yoyote

    Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu. Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  7. JamiiForums Tanzania Wife chuchu zinamuuma, shida ni nini?

    Wife maziwa yanamuuuma hata vile vichuchu ndo usiseme hata ikiguswa na nguo. Shida itakua nn kwa wakongwe au kina dada. Status: Hajawai kuzaa Hajawahi shika mimba Hanyonyeshi Hajawai kua na hilo tatizo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  9. JamiiForums Tanzania naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Maeneo mengi nchini yanaripotiwa kutokuwa na Umeme, kuna shida gani huko TANESCO?

    Leo hii, Watanzania katika mikoa mingi wamejikuta wakikumbwa na tatizo kubwa la kukosekana kwa nishati ya umeme. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kwa shughuli za kila siku, kuanzia viwandani, katika ofisi, hadi majumbani. Kutoka mitandao ya kijamii hadi vyombo vya habari, wananchi wameendelea...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi taa za kumulika barabara za Morogoro nini shida?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya Kibwegere kifikia Kona Bar, lakini mbona zinang'oka sana? Kama mfuatiliaji, angalia zile zaa za juu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Anaandika Lyenda kutoka X: SHIDA ZA UCHAGUZI 2024

    LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024: Tunachukua fomu kwa SHIDA. Tunarejesha fomu kwa SHIDA. Tunateuliwa kwa SHIDA. Tunafanya kampeni kwa SHIDA. Tunapiga kura kwa SHIDA. Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA. Tunahesabu kura kwa SHIDA. Tunatangazwa kwa SHIDA. Yaani...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  14. JamiiForums Tanzania Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

    Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma. Faustine kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Njooni tuambizane ukweli, Hivi wanawake wa kaskazini ni wife material kweli wa kuweka ndani kama mke au nataka kuingia choo cha kike?

    Ughonile.. Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda. Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Shida sio CHADEMA, wala Mbowe, shida kuu ni Taifa lilo jaa Raia waoga, wanao subilia kutetewa na kusemewa

    Kuna Raia wajinga sana Taifa hili, kutwa nzima utasikia ohoo Mbowe kanunuliwa, Mara Chadema haina mvuto tena mara sijui Lisu ikapanda ikashuka. Je Upinzani sio Ideology kwa Tanzania ila ni ideology kwa mataifa mengine? Kule Kenya kuna watu wanaendesha Movement na hawana vyama wala offisi...
  18. JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Gamondi shida ilianzia kuibukia kwenye mkutano mkuu wa Yanga na kutangazwa akitokea Club kula Bata

    Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC. Soma...
  19. JamiiForums Tanzania Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

    Jirani: Money penny njoo Money penny: Mekuja jirani nambie Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi Money penny: Du...
  20. JamiiForums Tanzania Kuku kibudu aliyekufa akachinjwa ana shida gani?

    Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…