shida ni nini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    Viongozi wa dini ya Kikristo wanazidi kuwindwa, wengine wameshakimbia nchi, SHIDA NI NINI??

    Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??. Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
  2. Uwesutanzania

    Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

    Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake, Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
  3. M

    ESS... E-loan shida ni nini!!?

    Nikiapply loan verification code sipati akati number ya simu ni sahihi na iliyopo kwenye profile tatizo ni mtandao au ni nini!?
  4. Ghost town

    Bongo kuna vipaji vya muziki ila sijui shida ni nini

    Wazee sujuwi ni mimi tu au pia kuna wengine wanaweza kuona hili binafsi nimemsikiliza huyu jamaa nimeona ana kitu na cha tofauti na hawa wasanii wengine tuliowazoea na uimbaji wao. Hebu jaribu kusikiliza alafu utoe maoni yako poleni kwa kuwachosha na hizo mb
Back
Top Bottom