sheria

  1. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee tukio la uvunjaji wa sheria linakuwa back up na tukio lengine la uvunjaji wa sheria

    Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au kutokujua. Kwa bahati mbaya zaidi,hutumiwa propaganda za wasanii,timu za mipira au uvunjaji wa sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Open University Hapa Tanzania kinatoa Degree ya Sheria?

    Assalamu alyekum Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme? Weñye kujua Asanteni
  3. G

    JamiiForums Tanzania Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria na wadau wa sheria naomba mnieleweshe kifungu hichi cha katiba

    katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 yenye marekebisho madogo,nimeona katika kifungu namba 34 ibara ndogo ya sheria 4 na 5 yenye kipengele a na b,nimepata ugumu kufahamu naomba nifahamishwe. (4) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

    Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anàhatarisha Amani ya mbele yake. Nimejaribu kuisoma sheria...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria za kufungua Baa, nyumba za Ibada ziangaliwe upya

    Habari JF? Siku hizi kumeibuka wimbi la kufungua Baa/ groceries na nyumba za ibada katikati ya makazi ya watu! Mwisho wa siku, zinageuka kuwa kero kwa kufungua sauti kubwa kwa wananchi wanaozizunguka ambao kimsingi hizi bar au nyumba za ibada zimewakuta hawa wanachi! Mfano mzuri, ninapoishi...
  8. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya NSSF na PSSF ibadilishwe. Wanaposhindwa kumlipa mwanachama washtakiwe na kudaiwa fidia.

    Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria. Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni. Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao. Mara kikokotoo, mara subiri...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Sheria za kulinda haki za wanawake na watoto msingi bora kujenga Tanzania ya maendeleo endelevu kufikia 2050

    UTANGULIZI Hali halisi ya Tanzania: Chanzo cha taarifa: Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu (OHCHR) ya Septemba 2023. Kesi za Unyanyasaji wa Kingono: Idadi ya kesi za unyanyasaji kingono dhidi ya wanawake na watoto bado ni juu sana, ikifikia karibu 7,000 kwa mwaka 2023...
  13. JamiiForums Tanzania TRA: Hatua ya kuzuia akaunti ya mlipakodi ni ya mwisho kabisa ambayo hufanyika baada ya mlipakodi kutotimiza matakwa ya sheria ya kulipa kodi

    TRA: MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWAKUMBUSHA WALIPAKODI KUTEKELEZA WAJIBU WA KULIPA KODI KWA MUJIBU WA SHERIA Dar es Salaam, 18 Mei, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwakumbusha walipakodi kutekeleza wajibu wao wa kisheria wa kulipa kodi kwa hiari na...
  14. JamiiForums Tanzania Service Levy inatozwa kinyume cha sheria?

    Tozo ya huduma ( service Levy) inatozwa kwa mjibu wa Sheria ya fedha namba 9 ya 1982 kifungu cha 6 (1)(U). (u) all monies derived from the service levy payable by corporate entities at the rate not exceeding 0.3 percent of the turnover net of the value added tax and the excise duty. What is the...
  15. JamiiForums Tanzania Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ni akina nani Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Bunge? Je, wana uwezo wa kutafsiri Sheria?

    Ningependa kujua wajumbe wa Kamati ya maadili ya Bunge. Na uwezo wao wa kuweza kuzichambua na kutoa maamuzi
  18. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

    Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria. Mfano tuwe na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli hakuna aliye juu ya Sheria nchini?

    Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi, bali vigogo wanaoweza kuonekana kama vile wameiweka Serikali mfukoni. Kikatiba, Rais wa Tz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…