sheria za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Vyama vya Siasa vyakumbushwa sheria za gharama/bajeti za uchaguzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imewakumbusha viongozi wa vyama kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi, ambayo imefanyiwa marekebisho na Bunge mwaka huu. Lengo ni kuepusha viongozi kuwekewa pingamizi au kufikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai Maelekezo hayo yametolewa wakati...
  2. W

    GE2025 Mch. Kimondo ashauri CCM wakae chini na vyama vya upinzani wazungumze kuhusu hatma ya nchi na mgogoro kuhusu sheria za uchaguzi

    Wakuu Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi kikae na vyama vya upinzani wajadili kuhusu mabaduliko ya uchaguzi. Ameeleza uchaguzi ukifanyika bila mabadiliko unaweza kuleta athari kwa taifa. "Ushauri wangu ni, wale walioshika mpini chama cha mapinduzi...
  3. Allen Kilewella

    CCM marekebisho ya Katiba yenu muda mnao, Sheria za uchaguzi muda haitoshi

    Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi? CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
  4. H

    Muda Wa Kubadilisha Katiba Ya Chama Unatosha Ila wa Kubadilisha Katiba Ya Nchi na Sheria za Uchaguzi, Hautoshi

    Matukio yanayoendelea yanazidi kutudhihirishia nchi yetu imejawa na matapeli na watu waongo. Watanzania wamekuwa wakililia katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi kwa miaka mingi, na madai hayo yamepewa nguvu na msimamo wa CHADEMA kutokubali kuingia kwenye uchaguzi wa kihuni, uchaguzi usio haki...
  5. 888I

    GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  6. Lord Denning

    PreGE2025 Maswali yangu kwa Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Sheria za Uchaguzi na Demokrasia

    Ukiwa ni mwendelezo wa kuwafanya na kuwaona Watanzania wote kama mazuzu vile, leo Waziri wa Katiba na Sheria amesikika huko Tarime akisema hoja ya No Reforms No Election haina mashiko kwa sababu Marekebisho ya Sheria yalishafanyia ( Reforms zilishafanyika) Ili kumuonesha Waziri Ndumbaro...
  7. mwanamwana

    PreGE2025 Dkt. Tulia: Mabadiliko sheria za uchaguzi yalihusisha wadau wote

  8. H

    Kila anayeongelea haki kwenye Uchaguzi, hayupo salama

    Kwa hali ya Taifa letu ilivyo kwa sasa, ni taifa la uovu, na kila anayeongelea HAKI katika uchaguzi, kila anayechukia dhuluma kwenye uchaguzi, huyo maisha yake yapo hatarini. Lakini waovu wanaoshangilia uovu wa kubariki mifumo ya uporaji haki wakati wa uchaguzi ili CCM itangazawe mshindi bbila...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA: Akina mama tuungane kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi 'No Reforms, No Election'

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  10. T

    Tafakuri:Mageuzi makubwa yamefanyika kwenye sheria za uchaguzi, je kilichotokea 2024 kilisababishwa na nini?

    Hali iliyojitokeza 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kupelekea kuwepo na malalamiko mengi sawa na yale ya2019/2020 ilisababishwa na nini? Maana haya yametokea katikati ya maboresho yaliyofanyika ya kisheria na kikanuni kuhusu uchaguzi. Nakubaliana na Mufti wa Bakwata kuwa tutumie akili...
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Wasira: Tumeshafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, CHADEMA hawawezi zuia uchaguzi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike mabadiliko...
  12. Bams

    Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  13. T

    Tafakuri: Kuhusu No Reforms No Election, CHADEMA bado wana nafasi ya kuzungumza na Rais

    No Reform No Election: Tafakuri ya Mtanziko wa Kisiasa Mimi ni mzalendo na mchambuzi wa mambo ninatafakari dhana ya No Reform No Election kwa kina, ninapata tatizo kuelewa Chadema inataka nini hasa. Ni kweli upinzani, ikiwemo Chadema, zimepata maumivu sana kwa uchaguzi wa 2019/2020 na hali...
  14. Parabolic

    PreGE2025 Kabla ya kuuliza Chadema watazuiaje uchaguzi, jiulize uchaguzi utafanyikaje kwa hali hii?

    Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli mbiu hiyo. Baada ya uongozi mpya kuingia chini ya Tundu Lissu, msisitizo umekuwa sio tu kususia...
  15. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Mgombea huyu apewe onyo au Kuchukuliwa hatua kali ikibidi afungiwe kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuanza Kampeni kabla ya muda

    Kwa Mujibu wa sheria za Uchaguzi ni kosa kubwa kwa Mgombea kuanza kufanya kampeni kabla ya muda maalum uliopangwa na Tume. Kwa zaidi ya miezi miwili sasa, Bidhaa mbalimbali zenye nembo na chapa ya mgombea huyu zimekuwa zikionekana sehemu mbalimbali, Hii pia inaashiria dalili mbaya ya Rushwa ya...
  16. Tlaatlaah

    Ni hadaa na kujidanganya kwamba mahitaji muhimu sana ya wananchi wa Tanzania ni sheria za uchaguzi kubadilishwa

    Kumekuepo na hadaa za wanasiasa matapeli kuhubiri mabadiliko ya sheria za uchaguzi nnje kabisa ya wakati wa mabadiliko ya sheria na katiba, kana kwamba hayo ndiyo mahitaji muhimu zaidi kwa wananchi wa Tanzania kuliko maji, afya, elimu, kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, miundombinu, usafirishaji...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Wasira: Mabadiliko yalishafanywa na sheria za uchaguzi zilipatikana, kulazimisha viwepo wanavyotaka wao ni Udikteta wa Kidemokrasia

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute. Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya miswada kupelekwa bungeni na baadaye kupitishwa baada ya kupitiwa kuwa sheria. Wasira anaongeza...
  18. Mindyou

    PreGE2025 Tundu Lissu ataka bunge likae kikao cha dharura ili kufumua sheria za Uchaguzi zilizopo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'. Vilevile, chama hicho kimetoa...
  19. Genius Man

    Uchaguzi haukuwa wa haki kutokana na matukio ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi

    Katika uhalisia ndani ya uchaguzi kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu pamoja na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi ikiwemo kuwaandikisha watoto chini ya miaka 18 kinyume cha sheria ikiwemo wananfunzi, ikiwemo wasimamizi wa uchaguzi kutofuata sheria za uchaguzi Kwenye baadhi ya vituo...
  20. Genius Man

    LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
Back
Top Bottom