sheikh mwaipopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh mwaipopo adai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia

    Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana! NB: Modes acheni kufuta nyuzi...
  2. POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  3. M

    PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Mzee Warioba anakosoa Serikali kwa chuki baada ya shinikizo la kumteua mwanaye kuwa mkuu wa mkoa kukataliwa

    Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amesema sababu ya Chuki na ukosoaji unaofanywa na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ni kutokana na mwanae kushindikana kuwa Mkuu wa Mkoa kama Mzee Warioba alivyokuwa ameomba kwa Rais Dkt. Samia...
  4. PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Warioba anatumiwa na wazungu kueneza chuki kwa watanzania

    Sheikh Mwaipopo amemvaa Jaji Mstaafu Warioba kwa kudai kuwa anaeneza chuki na anatumiwa na wazungu. Aidha, amesema kuwa kila panapokuwa na uchaguzi ni jambo la kawaida kwa vyombo vya ulinzi na usalama kujiandaa ipasavyo. Akinukuliwa amesema:
  5. M

    PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Sheikh Sharif Majini alipigwa risasi ya kifua na tumbo BAHATI MBAYA akiwa nyumbani kwake

    Hii dunia ina wanafiki wengi, Huyu Sheikh Mwaipopo mchumia tumbo kama wengine, hivi mtu unawezaje kupigwa risasi mbili bahati mbaya, kwamba asisema amedhulumiwa uhai makusudi na mamlaka, naye atauawa? Huyu na wanafiki wenzake wa BAKWATA ndo wamekuja na tamko la kijinga kuhusu uchaguzi. Soma >...
  6. R

    Sheikh Mwaipopo: CHADEMA muigeni Baba yenu Mbowe ile ndiyo siasa, acheni chuki

    "Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa na Sheikh Mwaipopo kufuatia tukio la kuonekana kwenye uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 -...
  7. Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  8. Sheikh Mwaipopo: Gwajima ulivyozungukwa na polisi uliwatoroka ukiwa umevaa dela, wakati wewe ni jasusi wa Mungu

    Gwajima pale ulivyozungukwa na polisi ulitoka na dela na kutokea mlango wa nyuma kwanini ulivaa dela wakati wewe unasema ni jasusi la Mungu, jasusi la Mungu livaa dela. Hukupaswa kuvaa dela ungesema mimi ni jasusi la Mungu na nyinyi ni majajusi la dunia tupambane alisema Sheikh Mwaipopo Soma...
  9. Sheikh Mwaipopo: Waislamu ni Walalamishi, wanafiq na wapo Disorganized

    Huyu muda si muda ataanza pigwa mawe au atapatwa na kitu.
  10. Video: Sheikh Mwaipopo awaombe Radhi Waislamu. Ameanza kukengeuka au anatumika? Hii ni Kebehi kwa Waislamu

    Haya maneno ya kusema Waislamu hawapo organized na ni wanafiki si sawa. Tena anaongea Sheikh Mkubwa kama huyu na Maarufu Duniani. Maana yake nini? Webabu Ritz Adiosamigo gTurn adriz huyu Sheikh avuliwe usheikh wake au apongezwe. Maan anaanza kujisahau na kuonesha rangi yake halisi.
  11. PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

    Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri. Pia, Soma: Sheikh...
  12. Mtu kama Mwaipopo aliunga mkono Bandari kuuzwa kwa Waarab tumpuuze!!

    Hivi kuna mwendawazimu atakaa amsikilize huyu anayejiita Mwaipopo?. Huyu huyu ndo aliunga mkono bandari kuuzwa eti kisa wale ni Waarab, yaani ni zero kabisa. Yaani watu wanasahau suala la maslah ya nchi utaifa kwanza unatangulizwa na sio mihemko ya kidini Sijui mnyakyusa gani huyu? Ni kichaa...
  13. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  14. A

    Sheikh Mwaipopo anatakiwa kukamatwa na kuhojiwa kuhusu maneno yake ya uchochoze wa kidini

    Mpaka sasa tangia huyu sheikh Mwaipopo atamke hadharani kwenye mitandao ya kijamii maneno yenye kuleta chuki za kidini na uchochoze bado jeshi la polisi halijatoa taaarifa yeyote kwa umma ya kumuita kituoni na kumhoji juu ya kauli zake ambazo amekuwa akizotoa mara kwa mara. Huyu Sheikh amekuwa...
  15. PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  16. Sheikh Mwaipopo: Watanzania siyo wakenya

    Msikilize hadi mwisho, utajifunza na kuacha mihemko ya kutaka kuingilia kesi iliyoko mahakamani. https://youtu.be/ZU3LGBjghAw?si=YC8lt5lASFFSCzIB
  17. R

    Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

    Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya! Huyu ni hatari, serikali, mamlaka...
  18. Siasa za majitaka: Watanzania tumefika huku?

    Iwe ni imani au kutumiwa na wana siasa itabakia kuwa ni kutojitambua. Binadamu mwenye akili timamu huwezi kuongea maneno kama haya mbele ya jamii iliyo kuzunguka. Tanzania huku tunako elekea siyo na hakufai kwa afya ya utulivu wa amani hapa nchini. Watanzania tuyakatae matendo kama haya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…