shambani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Farolito

    Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  2. Mafia Island Boy

    Nunu nazi kwangu bei ya shambani jumla na rejareja

    Wakazi wa Dar es salaam na maeneo ya jirani mkulima wa nazi keshafanya jangusho (mavuno) karibuni kununua nazi bora kwa bei ya jumla na rejareja tupo kinondoni jijini dar es salam tupigie +255 634 150 697 au 0673475225 Nunu nazi kwangu bei ya shambani jumla na rejareja
  3. Brayan_Jk

    Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

    Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua...
  4. funzadume

    Siafu wameua vifaranga shambani

    Usiku wa kuamkia leo siafu wamevamia shambani kwangu na kuua vifaranga vya wiki tatu 56 na vya miezi miwili na nusu 31 vilivyokuwa kwenye banda maalum la kukuzia Kwa wenye uzoefu nifanye nini kudhibiti siafu shambani Nisaidieni wataalam
  5. tonicimmobility

    Chatu ameza kondoo shambani - Arusha

    Mkufunzi kutoka Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori cha Afrika, Mweka, Tito Lanoy, amesema wamefanikiwa kumwondoa nyoka aina ya chatu, ambaye alikutwa kwenye shamba la mfugaji akiwa amekamata kondoo na kummeza. Tukio hilo limetokea leo, Agosti 14, 2025, eneo ni Dolly estate, Usa river, Arusha. Soma...
  6. Chibike

    Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  7. The redemeer

    Jinsia ya kuzuia chuma ulete shambani au kwenye biashara.

    Chuma ulete ni aina ya uchawi unaoaminika kutumiwa kuharibu mazao au kuiba mazao shambani kwa njia za kichawi. Katika tiba asili na mila za Kiafrika, kuna dawa na mbinu mbalimbali zinazotumika kuzuia au kujikinga dhidi ya chuma ulete mashambani. Hapa kuna dawa na mbinu zinazotumika: --- 🧪...
  8. Just Pray

    Aliyepotea wiki moja akutwa ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Pande Malembwe, jijini Tanga, Sarai Kagoro (30), ameuawa kwa kuchinjwa na mwili wake kukatwakatwa kisha kufukiwa shambani, baada ya kupotea kwa takribani wiki moja. Jeshi la Polisi mkoani Tanga linamshikilia mtu mmoja kwa tuhuma za kuhusika na mauaji hayo, huku wengine watatu...
  9. Mindyou

    Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Asema Tumbaku Bora Huanzia Shambani

    MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika kutokana na kuendelea kuimarika kwa bei katika masoko. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la...
  11. Bushmamy

    Kilimanjaro; Wafanyabiashara toka Kenya wamaliza mahindi mabichi yakiwa shambani

    Huko wilayani Rombo katika tarafa za Tarakea, Useri pamoja na maeneo mengine ndani ya wilaya hiyo, Malori Kwa Malori ya mizigo yamekuwa yakivuka Boda na kuja Rombo kuvuna mahindi machanga, na kupeleka kwao Kenya kama malighafi za viwandani. Wakulima wengi wa mahindi hapa Rombo Kwa kiasi...
  12. O

    Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  13. K

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  14. mdukuzi

    Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

    Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan, Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000 sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka...
  15. mfereji maringo

    Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  16. K

    Kwa uhitaji wakung’oa visiki shambani kwakutumia kifaa maalumu.

    Habari wanajamii ninatoa huduma yakungoa visiki mashambani.Huduma hii naifanya kwakutumia kinafaa maalumu, ambapo kwa siku moja nauwezo wakungoa visiki 30 hadi 40. Visiki vikubwa @3,500 vidogo @2,000. Karibuni sana. Mawasiliano: 0719789087
  17. rr4

    KARIBU TUWEKEZE SHAMBANI PAMOJA

    Wakuu habari za leo. Kama Kuna mtu ana wazo la kulima ufuta, mahindi, kunde and the like Nina eneo la ekari 6 Kabuku. Nataka kuotesha malimao lakini apatikane mtu wa kulima masika na vuli mpaka malimao yakue then yanafanyiwa budding. So mtu atakayepatikana ataingia cost za kusafisha shamba...
  18. tamu 3

    NILIME MIMI SHAMBANI

    NILIME MIMI SHAMBANI 1............. Nilime mimi shambani, jua kali linawaka, Majasho yanitokeni, mwili wote umechoka, Kutwa ninalinda nyani, wanasumbua hakika, Nilime mimi shambani, bei wanapanga wao. 2............ Ng'ombe wa bwana Shabani, wala mazao shambani, Yanipasa kulindeni, mawio na...
  19. Upekuzi101

    Najua ni suicide mission, ila nimeamua kurudisha mbegu za asili shambani

    Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu...
  20. KING MIDAS

    Tumia kitunguu swaumu kuua wadudu shambani mwako

    🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba na piga kama unavyopiga viatilifu vya kiwandani.... . piga kila baada ya wiki mbili & Uzuri wa...
Back
Top Bottom