Hello Taifa Stars Fans !
Wadau tuna tukio Zito na zuri na uzuri wake ni kwa sababu ya kumtupa Morocco nje ya CHAN2024.
Binafsi nimeandaa Tickets 1000 plus Usafiri kwa ajili ya mashabiki lengo ni kushangilia hatuendi kukaa Kwenye viti wala kusinzia.
Kwa wale ambao wapo vizuri kiafya maana...
Wabunge mashabiki wa Yanga wamesikika wakisewma 'Hatuchezi' wakati akitambulishwa Rais wa Klabu hiyo, Eng. Hersi Said Bungeni ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Sanaa na Michezo kwa...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemkuta na hatia shabiki wa Simba Mohamed Khamis Mohamed maarufu kama ‘Dokta Moo’ aliyeshtakiwa na Sekretarieti ya TFF akituhumiwa kwa kosa la kuchochea umma kwa ujumla kinyume na Kanuni 73(4) ya Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la...
Sibo ni shabiki wa mamelod aliamua kujitolea na kuweka ubinadamu mbele na kumuokoa shabiki wa timu ya Esperance aliyekwama jukwaani na alikuwa kwenye hatari ya kuanguka na kufa..nina hakika mashabiki wenye roho mbaya wa kitanzania hususani wa yanga wasivyo na utu wanakuacha au wanakusukumiza...
Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli.
Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya ligi,TFF,simba na yanga.
Unajiuliza hawa vijana wana akili kwelli
Mshukuru Mungu kamamwanao sio shabiki...
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano
2. Ni Mnafiki mkubwa
3. Hajui anachokifanya (Juha)
4. Muongo na Hafai
5. Mchawi / Mshirikina
6. Anapelekeshwa kama Mwehu
7. Analazimisha umaarufu na kupendwa
Naamini kabisa kwa 99.999% Geniuses wangu akina mrangi, adriz, Extrovert, Bila bila, SAGAI GALGANO...
#TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC.
Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
Wanajukwaa la Sport habar,
Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika?
Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious?
Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie.
"Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba
Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa.
Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto
(kubwa jinga).
Wakuu
Ndio kusema maji yamezidi Unga ama!
==
Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.