Naendelea kuamini nchi imeharibika.
Tupo hapa SGR Head Office Station. Tukiwa ndani ya lounge ina kiyoyozi lakini tumelowa jasho.
Ilikuwa tuondoke saa 12 jioni kuelekea Dodoma mara bin vuu tunambiwa treni ya Dodoma hamna.
Mara mvua inanyesha Dodoma hivyo haiwezi kwenda, mara abilia wachache...
Kwa nini Dodoma iwe kipaumbele na mikoa ya Mwanza na jirani kusahaulika?
Kuanzia Dodoma mpaka Mwanza kupitia Taboara mradi unasuasua.
Maeneo ya Itigi kama vile hakuna mkandarasi
Kuanzia Isaka mpaka Mwanza mradi umesinyaa kabisa.
Oktoba ipo karibu watu wa Tabora, Mwanza, Shinyanga, mpanda na...
Hatukatai lazima kila kitu kiende kwa standard za kimataifa, ila wanachokifanya SUMA JKT ukisha scan beg anafungua wanaanza kupangua chupi moja moja mabeg yenye faragha za kinamama.
Wakati mwingine najiuliza mtu ameshascan beg linaonekana kila kilichomo na mzigo amesha uwrap, kinachofanya SUMA...
Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa Instagram wa TRC unaonesha mabadiliko hayo yaliofanyika.
Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter
Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA.
Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali.
15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo.
0719928661
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameututaka uongozi wa TRC Dodoma kuongeza mashine za ukaguzi wa risiti za malipo kwa abiria na kutatua kero ya msongamano wa abiria pindi wanapotoka stesheni.
Senyamule ameyasema hayo alipotembelea stesheni kuu ya Usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa amekosoa utaratibu unaotumika wa abiria kuingia na kutoka stesheni kuu ya treni ya mwendokasi (SGR) Dodoma, kuwa umekuwa ukileta adha kwa abiria, hivyo ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dodoma...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu.
Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana.
Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika?
Soma Pia: Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma
Kituko Leo mkurugenzi kageuza Gia angani kuwa bado wanafanya majaribio hivyo safari itaishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.