Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa?
Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond pale ubungo ambayo imebadilishwa jina sasa inaitwa DOWASI ni Mali ya serikali au bado ni ya mh...