Hiyo kambi ipo kitambo sana enzi hizo mji unaishia Magomeni na Oysterbay, Sinza ilikuwa mashamba ya miwa na mpunga. Lugalo ilionekana ni nje ya mji.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya kijeshi ila ile kambi kuwa pale ni kero tu. Kwanza huku Kawe watu wanaishi kwa hofu tu, kila mtu anajifanya ni...
Moja kwa moja.
Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
____
1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba.
2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI
"Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae
"Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali
Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha maisha yake. Hayo ndio madhumuni ya kiuchumi ya CHADEMA"
"Sisi tunaamini kwamba CHADEMA ni Chama cha...
Katika repoti ya CAG itakayowasilishwa bungeni kwenye hili bunge kuna kitu alikigusia wakati anawasilisha repoti hiyo kwa Rais kuhusu serikali kugharamia vitu ambavyo CAG alivisema havina tija kwa serikali na taifa kwa ujumla.
Hiyo miradi inayofunguliwa na Mwenge siingefunguliwa na viongozi...
SGR inaonesha kufanya vizuri na ikisimamiwa vizuri itafanya vizuri zaidi.
TRC ni dude kubwa sana na hawajawahi kuendesha kwa faida.
Serikali iiondoe SGR kutoka shirika la reli hili iwe rahisi kufuatilia uendeshaji wake la sivyo pesa inayopatika SGR itaenda kutengeneza miundombinu...
Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya.
Hospitali hiyo ina...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa.
Naomba kuwasilisha.
Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa.
Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah.
Viongozi hao wamelalamika...
NI ALMOST HAKUNAGA mtu, mwanasiasa, bilionea, mwanaharakati, askofu, shehe, mtu wa system mstaafu, ambae huwa anaweza kusimama hadharani na kuiambia serikali:
1. Nina shughuli yangu sitaki kiongozi wa serikali aje !
2. Nina hela yangu ya mfukoni nitatumia in one day kulisha wananchi ( ng'ombe...
Habari wakuu
Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT
Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana
Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo.
Uchawa kwenye mamlaka...
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele...
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.
Hii ni nchi...
Wanabodi,
Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika kwamba mikopo ni njia mojawapo inayoweza kutumiwa na serikali yoyote katika kuendeleza miradi yake na...
Niambieni Tunaongeza budget gan kwene huduma zenu!!…..
Huko mbeleni taasisi binafsi zikiwezeshwa serikalini hakutakua na mteja hata mmoja.
NB: Nawaza kwa sauti
Mfano hako ka bundeji na kimfuko cha kuchukulia sample.