serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa?

    Ilikuwa Machi 3, 2021 Siku ambayo aliyekuwa Waziri wa Nishati wakati huo Medard Kalemani alipoweka jiwe la msingi ujenzi wa kituo cha kupozea umeme (Sub Station) Mkoa wa Simiyu. Hafla ya kuweka Jiwe la Msingi ilifanyika katika eneo la Imalilo, eneo ambalo lilichaguliwa kituo kijengwe ni nje...
  2. JamiiForums Tanzania Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali Kuibadili NEMC kuwa NEMA (Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira)

    SERIKALI KUIBADILI NEMC KUWA NEMA (MAMLAKA YA USIMAMIZI MAZINGIRA) Ofisi ya Makamu wa Rais imesema mchakato wa kulipa mamlaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) upo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kupitia mchakato unaoendelea. Kuifanya NEMC kuwa mamlaka kutaipa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali Inaboresha Miundombinu ya Umeme Kibiti Kuondoa Changamoto ya Umeme

    SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya...
  5. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kunduchi, Michael Urio na Mkiti wa Serikali ya Mtaa Bwana Kibele Katika Kashfa nzito

    Nani anasema ukweli katika sakata hili linaloendelea la kuwavunjia watu nyumba na makazi yao kwa kuwarubuni. Ni diwani wa kata ya KUNDUCHI bwana MICHAELI URIO ambaye aliwaambia wananchi : hwawezi kutajirika kwa pesa za fidia au bwana KIBELE anyewapigia wananchi simu usiku ili wampelekee hati zao...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kumzawadia Rais Trump ndege ya kifahari boeng 747- 8 jumbo jet, yeye adai itatumika kama air force one

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  8. JamiiForums Tanzania Ukijua tu una uadui au ni mkosoaji mkubwa wa Serikali yoyote duniani tafadhali epuka sana kufanya hili Kosa Kubwa la Kiufundi, kwani Utaondoka tu

    Kwa mfano labda wakipanga Njama zao za ama Kukujeruhi au Kukumaliza (Kukuua) na wakakukosakosa jitahidi sana kama ukipata Msaada wa haraka wa Kukimbizwa Hospitalini kwa Matibabu basi jitajhidi mno hiyo Hospitali unayopelekwa iwe ni SIRI kwa Watendaji huwa na Mawakala wao karibu katika Hospitali...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kukanusha mauwaji na utekaji na ukandamizaji ni kujaribu kudanganya dunia dhidi ya ukweli

    Serikali kukanusha ukiukwaji mkubwa wa haki nchini na uwepo wa mauwaji yasisi kwa sisi ya kiholela holela hasa kwa wakosoaji wa serikali kwa wapinzani na viongozi wa kidini ni kujaribu kutaka kudanganya dunia dhidi ya ukweli. Serikali imekanusha azimio la ulaya ikidai kuwa haiajapata taarifa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

    Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu. Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private. Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  12. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  13. JamiiForums Tanzania DOWUTA yaitaka Serikali kulinda ajira na Haki za Wafanyakazi Wazawa kwenye uwekezaji wa Bandari na Kampuni ya Adani

    Wakuu! Katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka huu, viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji na Huduma za Bandari Tanzania (DOWUTA), kupitia tawi lake la TEAGTL, walijitokeza kwa nguvu kupaza sauti kuhusu mustakabali wa wafanyakazi wazawa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaipa Ndege Simba kuipeleka Morocco kwa Fainali ya CAF

    Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

    Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security. Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha. Mshahara wa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kuisaidia Syria kulipa mishahara kwa kuipatia dola milioni 29 za Marekani kwa mwezi!

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments By Reuters Qatar is set to provide Syria with $29 million monthly for three months that can be extended to pay salaries, the Syrian finance minister says...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt Godwin Mollel: NHIF imeanza kugharamia gharama za Huduma ya Afya ya Akili

    Serikali imesema huduma za afya ya akili zimeshajumuishwa kwenye vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na hivyo wananchi wanaonufaika na bima wanaweza kupata matibabu hayo kwa mujibu wa mwongozo wa matibabu uliopo. Akijibu swali la Mbunge wa Iringa Mjini, Mhe. Jesca...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuendelea kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesisitiza kuwa ni dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kuwawezesha, kuwazingatia na kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa kama ambavyo wabunge wameshauri wakati wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake ya Ujenzi kwa mwaka 2025/2026. Wakati...
  20. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…