serikali

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

    Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025. Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake. Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda: Serikali iwachukulie hatua wanaoharibu amani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini. Ali ameeleza hayo leo...
  4. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
  5. JamiiForums Tanzania Jamiiforum ukweli usemwe kufuta matukio sio kwamba serikali inawepanda mbona mumerudishwa kwenye VPN.

    Jana kuanzia saa 2 mbili usiku tarehee 8 December kuna mambo ya ajabu yalikuwepo ila tunajua ukiona sehemu moja jua na kote si mnasema watanzania ni wa moja. Vituo vya polisi kuanzia vidogo na vikubwa kila napo pita vilikuwa vimezimwa taa na wamjiweka gizani usiwaone na maarufu ya bangi...
  6. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya serikali ina utata

    Hii kauli ya serikali watu wabakie majumbani si rafiki hata kidogo ..Si wakazi wote wa Mji wa Dar Wanamajumba wengine wanaishi na kulala usiku unampukutia ..kwa mfano Bodaboda, wamasai , machinga ,mamantilie ,waokota makopo n.k Ni hayo tuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Hadi sasa hakuna tishio TCRA kuzima internet

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema uamuzi wa kuzima mtandao wa internet ni chaguo la mwisho kabisa pale ambapo hali ya kiusalama inakwa mbaya ambapo amesema hadi kufikia sasa hali ya Tanzania bado ipo shwari na hakuna tishio la kuwafanya TCRA wazime internet kesho December...
  8. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  11. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kama serikali haijaandaa "VIONGOZI WA MAANDAMANO". Gwajima au Polepole wangefaa sana. Hao ndiyo wana ushawishi pande zote

    Ulishajiuliza kwa nini Kenya Gen Z walikuwa wanaandamana huku wakiwa na viongozi ila serikali haikuwa inawakamata hao viongozi (wanaharakati)?. Kenya kwa sasa iko shwaaariii! Jibu ni kwa sababu ni rahisi ku-contain maandamano yenye viongozi kuliko yasiyo na viongozi. Leaderless demonstrations...
  12. JamiiForums Tanzania Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uchawa umepunguza imani ya Wananchi kwa Serikali

    Demokrasia inahitaji sauti huru na uwajibikaji wa viongozi lakini pale ambapo kundi la vijana linageuka kuwa mashabiki badala ya walinzi, misingi hiyo taifa na misingi imara ya demokrasia huanguka taratibu. “Viongozi wanajua wakifanya kosa, watatetewa. Wapinzani wakisema ukweli, watashambuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali waruhusu maandamano ya Dec 09,2025 na wayasimamie!!!

    Naiomba serikali yangu tukufu iyaruhusu maandamano ya Amani yanayotarajiwa kufanyika Dec 09,2025 kwa sababu wawaache watu watoe dukuduku lao kwa Amani. Naamini kama Polisi wetu wanaweza kutoa ulinzi siku hiyo hakutakuwa na uvunjifu wa Amani katika maandamano hayo. Kutokuyaruhusu maandamano...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali Inacheka, Watu Wanalia! Vijana Tumekosa Ajira, Lakini Mfumo Uko Tu Huko Ujinga!

    Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu kipo sawa lakini ukweli ni kwamba vijana wengi wanateseka. Serikali inatupeleka wapi na hizi sera...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  18. JamiiForums Tanzania Nchi nyingine zinatutambua kama waandamanaji lakini Serikali yetu inatuona kama wahaini huku wauaji na watekaji ikiwanyamazia

    Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM kutoka kupambana na vyama pinzani hadi kupambana na Gen z

    Miaka ya nyuma Serikali ilikuwa ikipambana kuzuia maandamano ya baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani. Polisi wake walikuwa na kazi ya kuvamia venue wanazokutaniana wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa na kuwasweka mahabusu na hata kuwafungulia kesi. Walikuwa na uwezo wa kukamata kamata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…