serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yashauriwa kuchukua hatua kali kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi

    Mtandao wa Wadau wanaopambana na unywaji wa pombe kupita kiasi nchini Tanzania {TAAnet} umeishauri serikali kuchukuwa hatua kali ili kudhibiti matumizi ya pombe kupita kiasi kwa kuridhia uwepo wa sera ya afya yenye kuweka katazo la matumizi mabaya ya pombe ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa muongozo...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kuunda Tume za Uchunguzi na kutoweka wazi matokeo ya uchunguzi wake inamaanisha inawalinda wahusika?

    Katika nchi zenye idadi kubwa ya Tume za Uchunguzi huenda Tanzania ikaongoza, karibia kia tukio baya iwe Wizi, Mauaji, Uhaliifu wa Kawaida, Uhalifu Mbaya, Ajali za Moto, Magari, Majengo, Vifo vyenye Utata, kote huko tumeshawasikia mara kadhaa viongozi wa nchi hii hadi wale wa ngazi ya juu kabisa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waziri hutakiwi kujitoa kwenye maamuzi ya Serikali

    Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi. Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Serikali imetatua changamoto za ubia na Taasisi za Dini

    SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya kidini zinazotoa huduma ya Afya msingi kwa wananchi kwa kutatua changamoto zilizokuwepo baina ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhamia Dodoma: Serikali imefanya makosa kuruhusu taasisi zake kujenga ofisi katikakati ya mji

    Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na kuuza viwanja vingi tu. Maeneo hayo ni pamoja na Mtumba, Nata, Ihumwa, Nzuguni, Michese...
  8. JamiiForums Tanzania Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

    Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa. Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz. Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

    Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria. Dhumuni la serikali ni kulinda eneo la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,500 ili kuepuka shughuli za binadamu uamuzi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lawama zote kwa sasa Serikali isizikwepe na inapaswa kulaumiwa kwa kila kinachoendelea/kitakachoendelea!

    Majuzi juzi wabunge walikuwa wanashangaa ndoa kuvunjika kwa wingi kwa muda mfupi na wanaume wengi kukimbia ndoa zao, Lakini hawajiulizi ni kwa nini inakuwa hivi, Dume kama Dume, kawaida yetu sisi, tumeumbwa ili tule kwa jasho na kuhakikisha familia inaishi kwa furaha bila tatizo lolote la...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Halima Mdee yapigwa kalenda tena!! Sababu ni Mawakili wa serikali kushindwa kufika Mahakamani.

    Kisingizio cha Mawakili wa Serikali kutokufika mahakamani ni mkutano wa mawakili wa serikali unaofanyika huko Dodoma. Je, sababu hiyo inajitosheleza? Je, huu sio mkakati wa kupoteza muda kati ya mawakili wa serikali, mahakama, na upande wa kina Mdee? kesi imeahirishwa kwa wiki moja mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Kuliko kutozana pesa ya Bima ya Afya in lump sum, tozo zirudishwe kwa ajili ya Bima ya Afya kwa wote

    Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima. Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk. Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua. Sasa binafsi...
  13. JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini. Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
  14. JamiiForums Tanzania REPOA: 88% ya Watanzania hawawezi kuandamana dhidi ya Serikali

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yasema haiwatambui wanaofanya kazi za ndani Saudi Arabia

    Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini, amesema hakuna utaratibu unaowatambua Watanzania waliokwenda kufanya kazi za ndani nchini Saudi Arabia. Balozi Mwadini alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanywa kwa njia ya video moja kwa moja kutoka Riyadh, Saudi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa serikali ya awamu ya sita

    Nitumie vigezo gani kupima ufanisi wa serikali ya awamu ya sita? 1. Wingi wa mikopo 2. Wingi wa magari ya misafara ya viongozi 3.safari za kila mara nje ya nchi 4. Porojo 5. Tozo kila mahali 6. Chanjo ya corona 7. Ufisadi 8. Sgr 9.jnhep 10. Barabara za mjini na vijijini kutokutengenezwa licha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Feleshi, tutajie Mkataba wa Serikali iliyosaini bila ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa

    Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya Kwanza hadi ya Nne serikali ilitoa fedha za miradi, awamu ya Tano na Sita anatoa Rais - kwanini?

    Wadau Nawasalimu. Naomba kupata Ufafanuzi juu ya Utoaji wa Fedha za Serikali kwenda kwenye Miradi ya Serikali. Kwanini Siku hizi Hatusikii tena kuwa SERIKALI imetoa Sh.kadhaa kwa ajili ya Mradi fulani badala yake ANATAJWA MTU kuwa katoa hizo Fedha Je hizo Fedha ni Zake Binafsi au za SERIKALI...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna kuingia Mikataba pasipo kumshirikisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili leo tarehe 29 Septemba, 2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete. Prof. Ibrahim Juma - Jaji Mkuu Haitoshi kuwa na sheria nzuri ambayo haitimizi malengo ya kutungwa kwake. Zipo...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatumzuii Mtu kuanzisha Televisheni ya Mtandaoni

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba bado inaendelea kusajili vyombo hivyo ili viweze kuuhabarisha umma. Amesema lengo la Serikali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…